Kuna jamaa alimwambia Idd Amin "This is a good joke......."Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea.
Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajet ni shingapi maana hiyo safari mm kwenda lazima na hapo Botswana nina mwenyeĵi.
Plz mwenye information ya hiii kitu aseme. Asanteni wako nasoma maoni yote.
Nashangaa anasitasita bhanaUna mwenyeji huko,sasa una sita sita nini kwenda tambaa
Ova
Tafuta passport dogo acha ujuaji kwenye inchi za watu.Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea.
Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajeti ni shingapi maana hiyo safari mimi kwenda lazima na hapo Botswana nina mwenyeĵi.
Please mwenye information ya hiii kitu aseme. Asanteni wako nasoma maoni yote.
Sasa ulifikaje huko bila passport?? Wasafiri hapo Kenya ni wengi pia, ila uwe muangalifu ile ni nchi sio kama bongo ukiongea Kiswahili tu wewe ni mzawa haijalishi mkongo Mrundi also known as waha. Hata uhamiaji akikushika bongo ni Njurukwa tu. Botswana sio hivo.Kwasasa niko kenya mkuu nairobi
Unaruka na ungo?Iko hivi wazee sina passport yeyote zaidi ya kitambùlisho tu. Sasa lengo langu ni kufika 🇧🇼Botswana. Nina mwenyeji hapo atanipokea.
Sasa je, naweza kupita vini na ni njia ìpi rahisi na bajeti ni shingapi maana hiyo safari mimi kwenda lazima na hapo Botswana nina mwenyeĵi.
Please mwenye information ya hiii kitu aseme. Asanteni wako nasoma maoni yote.
Huyo ndugu yake ndiye wa kulaumiwa, yeye ndiye ambaye anapaswa kumwambia taratibu zote za kuingia Botswana kihalali na kuishi kihalali. Au naye ni mhamiaji haramu huko?Fatal taratibu; usiende kihuni ukamponza ndugu yako
Passport ndogo inapatikana ndani ya Siku hiyohiyo. Kwa gharama ya 56,000/=, Na inakuwa na muda hisizidi siku 30. Karibu kufuatilia visa ya kuingia Botswana inakuwaje.. fatilia pia Kujua na mambo mengine ya mipakani. Huku huwezi pata exposure ya kutosha... Tafuta madereva Wa maroli wakongwe au wale Wa IT wanaondega Sana huko watakuwa na Taarifa nzuri zaidi kwako.
Kuwa makini usije kuingizwa mkenge,jitahidi ujipange vizuri kwenye kila upande usije kumtegemea huyo unayemuita ndugu yako kwa asilimia 100 utakuja kuaibika.Ni mtanzania yupo hukoo
Mtanzania anaingia free Botswana. Visa labda zamani sana.Nyakati zinabadirika. Naweza kukuunga mkono kwamba aende huko visa yake ikiisha ndio aishi kihuni but sio kwenda; why aende kihuni wakati passport inapatikana kirahisi hivo?