Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

Asanteee
 
Pole sana kwa hayo matatizo unayoyapata.nakushauri kwanza usafishe tumbo kwa kula dawa za kuendesha,pili baada ya kusafisha tumbo anza kula fruit fruit ili uwe unapata choo laini na pia usisahau kunywa maji kwa wingi naimani baada ya wiki moja hali itakiwa ni mzuti sana.kuna dawa inaitwa habat muluk hii dawa imekaa kama punje ya karanga mbichi bc igawe kwa sehemu nne,hio sehemu moja inamaana robo tafuna ila utasikia kiu mchana wote na kichefuchefu lakini shughuli yake ni mzito,utaendesha mpaka uchafu wote utoke.kama mnywaji pombe sikushauri kutumia hio dawa na pia usizidishe dozi ni hatari unaweza zidiwa.
 
Kunywa flagile inawezekana kuna bacteria wanaosababisha ila vizuri nenda hospital wanamajibu mazuri kuliko hapa.
 
Ndugu yangu hivi hapa kweli ni right forum ya kuuliza swali kama hilo? are you not a great thinker?, ndiyo maana umepata majibu ya kejeri. Be serious bwana!!!!!!
Sioni shida na swali lake, ni zuri tu. Ila kuna wengine majibu yao yamepitiliza upuuzi, . . . japo wengine ni upuuzi wa kufurahisha tu"jokes"
 
Ungesema kwanza ratiba yako na kila unachoingiza mdomoni mwako ni nini ingekua mwanzo mzuri wa kupata ushauri sahihi
 
Asante sana ntajaribuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole ndugu naona watu wanajibu kienyeji enyeji tuu mara ulaji wa viporo mara mataputapu bila ya kujua kiini cha tatizo lako. Haiji akilini eti kila siku anakula kiporo au mataputapo.

1. Tatizo lako linatokana na abnomality ambayo imetokea mwilini mwako na kuna secretion ya hormone fulani inatolewa kuzidi kiasi ( over secretion) imbayo inataka kujaribu kupambana na tatizo linanotaka kujitokeza ndani ya mwili wako na ndio matokeo ya harufu hiyo mbaya. Wachina kwa kutumia tiba zao za asili huweza kunusa harufu mbalimbali zitokazo katika mwili wa mwanadamu na kujua ile harufu inamaanisha tatizo gani gatika mwili. Hivyo hiyo harufu mpaka imekuwa kero kwako sii sababu ya kula vibaya kama wengine wanavyodhani bali ni indicator inayoashiria kitu fulani kwenye mwili wako. Nenda kwa dactari aliyetulizana atakusaidia.
 
Kwa hiyo hapo ndo umejibu kisomi?
 
Haka kathread nimefungua tu nakutana na kaharufu ka-kimba hv kusoma nini kimeandikwa eti Huna raha na kinyesi chako... Next time usipost huku unakunya MKUU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…