Pole sana kwa hayo matatizo unayoyapata.nakushauri kwanza usafishe tumbo kwa kula dawa za kuendesha,pili baada ya kusafisha tumbo anza kula fruit fruit ili uwe unapata choo laini na pia usisahau kunywa maji kwa wingi naimani baada ya wiki moja hali itakiwa ni mzuti sana.kuna dawa inaitwa habat muluk hii dawa imekaa kama punje ya karanga mbichi bc igawe kwa sehemu nne,hio sehemu moja inamaana robo tafuna ila utasikia kiu mchana wote na kichefuchefu lakini shughuli yake ni mzito,utaendesha mpaka uchafu wote utoke.kama mnywaji pombe sikushauri kutumia hio dawa na pia usizidishe dozi ni hatari unaweza zidiwa.