[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ulivyoandika, mh! wakati nasoma nimesikia kabisa harufu!...
jaribu kutumia tridinazole . wafamasia ukiwaeleza wanajua dozeHabari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Utatoa kinyesi kinanukia kama pafyumu....1)kula chakula safi na kilicho iva vizuri
2)kula matunda kwa wingi
3)kunywa maji mengi Sana
mkuu kula kale kambegu ka wamasai kakusafisha tumbo,kanauzwa elfu 5 tu,Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Vipi mkuu hua unatumia vinywaji ganiHabari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Kwa usawa huu viporo ni lazma hawezi kuviepukaKunywa maji mengi halafu epuka kula mchanganyiko wa viporo
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulivyoandika, mh! wakati nasoma nimesikia kabisa harufu!...