Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

Bwana Yule [emoji51][emoji51] unakunya afu unanusa unategemea Nini?

Ukinya tembea yatajijua
 
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
jaribu kutumia tridinazole . wafamasia ukiwaeleza wanajua doze
 
Kama kinyeshi kinanuka ujue wewe tajiri tayari kipeleke kwa watu wa gas unaweza kupata noti
 
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
mkuu kula kale kambegu ka wamasai kakusafisha tumbo,kanauzwa elfu 5 tu,
tahadhari: kula hicho kimbegu ukiwa home tu,kwa sababu frequency ya kuhudhulia toilet inaweza ikawa every after 5> mini
 
yaaani hakuna post niliwahi kuumia mbavu kama hii, jamaa anajiita bishoo halafu kitu kinanuka hahahahahahahahaahaha
 
Pole Mkuu Unatakiwa Ule Mbonga Za Majani Kwa Wingi Na Matunda,km Unakunywa Pombe Punguza Pia Ulaji Wa Nyama Bila Mpangilio Unaleta Choo Kibaya Chenye Harufu
 
Hiyo dawa ya mbu swafi. .kabla ya Kuala funga mapazia yote na jamba ushuzi mkaliii. .mbu wote watakimbia..utapata usingizi mwonono!
 
Unakunywa balimi? Unavuta sigara?

Hakuna kinyesi kinanuka kama cha mnywa banana, wanzuki, na Balimi
 
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Vipi mkuu hua unatumia vinywaji gani
 
Back
Top Bottom