Sina raha kinyesi changu kinatoa harufu mbaya sana

Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Utakuwa na giardiasis

Utakuwa na giadiasis
 
Umefanikiwa kuwachota watu akili....hongera kwa kutafuta kiki.
 
Unajishtukia tu mwenyewe maana kinyesi lazima kinuke sasa ukitaka kiwe kinanukia chakula uwe unakimiminia marashi kidogo
 
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Kwani mkeo hadi unamuoa alikuwa anajua mavi yana harufu ya waridi hadi leo atake kurudi kwao?
 
Zinangatia ushauri wa kula matunda mara kwa mara na pia kunywa maji.

Zingatia pia kwenda haja kwa wakati, na sio kubana na kusubiri.

Lakini pia kitu kimoja rahisi sana cha kupima harufu ya choo chako, ni harufu ya fart yako. The more smelly the fart, the more smelly the stool.

Kufart mara kwa mara, kunasaidia build up ya gas ndani ya tumbo lako, na ultimately ukienda chooni, harufu itakuwa very minimal. Jaribu hii utaona matokeo yake.
Mkuu nikifart ni balaa sana kina harufu Kali sana
 
Uwe vegetarian kwa mda sasa,kuna sababu mbalimbali za kusababisha hali hiyo,
asije tu mtu kukwambia una mapepo ukaombewe
 
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Isijekuwa unakula vyakula kama vya fisi.
 
Pole mkuu kwanza kabisa tengeneza juice nzito ya ukwaju mix na ubuyu kidogo ukipiga glass mbili au tatu baada ya nusu saa utaanza kuharisha siku nzima mpaka uchafu wote tumboni utaisha hii dawa itakusaidia kuflash kila aina ya uchafu tumboni ukimaliza hapo chunga unachokula halafu angalia quality ya chakula sio quantity penda Sana matunda matunda tofauti tofauti mbona utayafurahi mavi yako
 
Habari za jioni ndugu zangu kwa kwl mwenzenu naadhirika kutokana na harufu ninayoitoa nkienda haja kubwa ni mbya kupita maelezo hata nitumie manukato vipi badoo yani sina raha nkitoka chooni nakuta watu wametoka nje kupunga upepo pia nnakuwa na harufu mbya jaman mke mpk anataaka kurud kwao tatz nn wakuu maana sasa iv nakata gogo saa tisa kila mtu kalala
Uwe unakunya kichakani mala moja kwa siku afu uanze dozi ya matunda na maji mengi mpaka upone ndo urudi kunya nyumbani....(kampeni ya matunda kwa kinyesi bola)
 
Napenda sana harufu ya kinyesi sijui sababu mm mtu wa Pwani. bishororo ningekuwa Jirani yako ningesema niwekee kwenye kiberiti niwe natembea nacho
 
Kwan kuna kinyesi kinachonukia? Kila mtu hvo hvo tu.... Mavi sio pafyumu
 
Jirani bor umesem nilitak nikwambie kesh kabl hujaend kzn . unatutesa San kw haruf
 
Back
Top Bottom