Sina tatizo la hawa Wanafunzi 1,907 Waliozaa Kurejeshwa Mashule ila wasiwasi wangu mkubwa uko hapa...

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Je, wamejengwa vyema Kisaikolojia ili wakirejea huko Mashuleni wasijisikie vibaya na kuhisi Kunyanyapaliwa?

Je, Wanafunzi wa Kike ambao wanaenda Kukutana na hawa Wenzao walioanza Ngono wakiwa bado Wanasoma na hadi Kuzalishwa nao wameshajengwa Kisaikolojia ili Wenzao wakirejea huko Mashuleni nao Wasishawishike Kubanduliwa na Wanaume na wao Kutamani Kuzaa kama hawa Wenzao 1,907?

Nasubiri majibu yenu juu ya hili.
 
Acha chuki kwani hao ambao awajazaa awafanyi ngono
 
Je, wamejengwa vyema Kisaikolojia ili wakirejea huko Mashuleni wasijisikie vibaya na kuhisi Kunyanyapaliwa?

Je, Wanafunzi wa Kike ambao wanaenda Kukutana na hawa Wenzao walioanza Ngono wakiwa bado Wanasoma na hadi Kuzalishwa nao wameshajengwa Kisaikolojia ili Wenzao wakirejea huko Mashuleni nao Wasishawishike Kubanduliwa na Wanaume na wao Kutamani Kuzaa kama hawa Wenzao 1,907?

Nasubiri majibu yenu juu ya hili.
Mkuu hii Habari imenipita...ni wapi na nani anawarufidha shule? Ila ukweli ni kwamba viongozi wetu wanafanya maamuzi ya Elimu kisasa, kama wangeelewa msongo wa mawazo, aibu na Fedheha binti anapata akirudishwa ktk mazingira ya peers wenzake wakati yeye anamtoto wangejali swala la kutoa huduma za ushauri kwa binti na kuhakikisha wa wapo shuleni they have support system ya kutegemea... Maana unyanyapaa wao sio tu shule Hat nyumbani... Ndio maana wengine huacha shule zenyewe... Serikali jitahidi kufanya mambo kwa ukamilifu🙏
 
Back
Top Bottom