GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sifa ya kuwa mgombea ubungeKama wameshajua kusoma na kuandika inatosha,mi naona wangeendelea kulea tu watoto wao
Acha chuki kwani hao ambao awajazaa awafanyi ngonoJe, wamejengwa vyema Kisaikolojia ili wakirejea huko Mashuleni wasijisikie vibaya na kuhisi Kunyanyapaliwa?
Je, Wanafunzi wa Kike ambao wanaenda Kukutana na hawa Wenzao walioanza Ngono wakiwa bado Wanasoma na hadi Kuzalishwa nao wameshajengwa Kisaikolojia ili Wenzao wakirejea huko Mashuleni nao Wasishawishike Kubanduliwa na Wanaume na wao Kutamani Kuzaa kama hawa Wenzao 1,907?
Nasubiri majibu yenu juu ya hili.
Ujinga huoIngekuwa enzi zangu ndio nasoma nasubiri mwalimu hayupo darasani nachukua box naweka juu ya meza halafu naanza kusema "KADI ZOTE ZIWEKWE HUMU"
Kati ya hao waliofungwa hawazidi 30Kwahio ma single maza wanaendelea kusoma halafu waliowapa mimba wanaenda jela kama kawaid au? [emoji1787]
Ujinga kuliko mwanafunzi kwenda kubanduliwa na kupewa mimba?Ujinga huo
Mkuu hii Habari imenipita...ni wapi na nani anawarufidha shule? Ila ukweli ni kwamba viongozi wetu wanafanya maamuzi ya Elimu kisasa, kama wangeelewa msongo wa mawazo, aibu na Fedheha binti anapata akirudishwa ktk mazingira ya peers wenzake wakati yeye anamtoto wangejali swala la kutoa huduma za ushauri kwa binti na kuhakikisha wa wapo shuleni they have support system ya kutegemea... Maana unyanyapaa wao sio tu shule Hat nyumbani... Ndio maana wengine huacha shule zenyewe... Serikali jitahidi kufanya mambo kwa ukamilifu🙏Je, wamejengwa vyema Kisaikolojia ili wakirejea huko Mashuleni wasijisikie vibaya na kuhisi Kunyanyapaliwa?
Je, Wanafunzi wa Kike ambao wanaenda Kukutana na hawa Wenzao walioanza Ngono wakiwa bado Wanasoma na hadi Kuzalishwa nao wameshajengwa Kisaikolojia ili Wenzao wakirejea huko Mashuleni nao Wasishawishike Kubanduliwa na Wanaume na wao Kutamani Kuzaa kama hawa Wenzao 1,907?
Nasubiri majibu yenu juu ya hili.
Upuuzi mtupu. Hapa ilitakiwa wote tuwachinje basi.Kwahio ma single maza wanaendelea kusoma halafu waliowapa mimba wanaenda jela kama kawaid au? 🤣