Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
- Thread starter
- #101
Asante sana. Mimi pia. Nahisi baadae ntapata madharaHiyo tunaita Mood disorder inakupelekea kua na mawazo mengi n kushindwa kufany mambo mengine
Ila sio kila bad mood ni disorder
Cha kuzingatia ni ujitahidi uimalize hiyo hali isijirudie ikifika ktk stage tunaita Dysthymic ambayo ni chronic ni mbaya sana
Madhara:ni mengi sana kwa hiyo hali mf.kuvunika moyo,kujitenga na jamii
Matibabu y hiyo hali yapo ila nafikiri wew hujafika hiyo stage ila muhim zingatia sana ujitahid hiyo hali isikuzoe kabisa dadangu ni hatari japo unaweza ona kawaida ila kwetu wasomi wa Psychology ni hatari sana.