Uzi wako ni ndoto za alinacha, hatuelewi unachosema.Akifika hatua Hii watu watapigwa mawe
Tupe fununu fununu za hizo issuesAkifika hatua Hii watu watapigwa mawe
Ngoja ni jaribu ku guess Iko hivi hela haiwi hela mpaka zile noti zimwagiwe kemikali fulani otherwise hela inakuwa ni makaratasi Sasa hapo tujiongeze na code hii.Uzi wako ni ndoto za alinacha, hatuelewi unachosema.
Si useme
Bilashaka HP anaachiwa nafasi aseme.Uzi wako ni ndoto za alinacha, hatuelewi unachosema.
Si useme
Daa hii ni hatari sana! Kila mtu anaogopa faili lake? Basi hawa viumbe watakuwa na uchafu mwingi sana.Nilichogundua CCM asilimia kubwa viongozi wao wachafu na pole pole ana ma file yao rostam mpaka leo kakaa kimya kajichanganya wasira kala za uso kila mtu file lake analiogopa.