Sina uhakika kama Polepole hatagusa suala la B.O.T na gari la Kemikali

Sina uhakika kama Polepole hatagusa suala la B.O.T na gari la Kemikali

umanikumbusha kitu , kila raisi akija anakwambia bot hakuna kitu , why ? alafu immediately anaanza kukopa kwa kasi ?
kifo cha yule bishoo kule appolonari, ghafla $ ikashuka thamani ?
 
Makuwadi wa soko Huria ( chachage, S. Chachage, 2000s) RIP
Nilibahatika kumuona mtu huyu seith chachage nikiwa bwana mdogo sana wa shule ya msingi ilikuwa ni tgnp mirinda nyeusi ndio ilifanya nipate kumjua na kupata madini mengi kutok kwake
 
Nilichogundua CCM asilimia kubwa viongozi wao wachafu na pole pole ana ma file yao rostam mpaka leo kakaa kimya kajichanganya wasira kala za uso kila mtu file lake analiogopa.
🤣🤣
 
Daa hii ni hatari sana! Kila mtu anaogopa faili lake? Basi hawa viumbe watakuwa na uchafu mwingi sana.
Mungu twakuomba uiponye Tanganyika
Mkuu mi nilijua pole pole sio mtu mzuri siku walipojichanganya wakamdaka dada yake ili wampate yeye aliwapa onyo kali na siku ya pili dada yake akaachiwa na mama yake .
 
Mkuu mi nilijua pole pole sio mtu mzuri siku walipojichanganya wakamdaka dada yake ili wampate yeye aliwapa onyo kali na siku ya pili dada yake akaachiwa na mama yake .
Hilo tisa,kumi la kuwaalert watu wa vyombo vya Dola kuhusu kutunza taarifa na kwamba atakayesema zimepotea,atapotea nazo. Huyu jomba sio mtu wa mchezo mchezo!
 
Anadonyoa kidogo kidogo hadi October hata mpumbavu kabisa atajua kuwa huyu mzenji hachaguliki.
20250902_065338.jpg
 
Hilo tisa,kumi la kuwaalert watu wa vyombo vya Dola kuhusu kutunza taarifa na kwamba atakayesema zimepotea,atapotea nazo. Huyu jomba sio mtu wa mchezo mchezo!
Hata mimi binafsi kwa kauli ile aloitoa nimeanza kumuelewa ni mtu na nusu wallah...
Anachokijua anakijua haswaaaa....
 
Back
Top Bottom