Mkuu kwa akili ya kawaida kabisa huyu amepetuka mipaka sio kwa kujiamini huku nahisi Leo watu hasa wale wachepukaji watakua wamepata fundisho
Hapo sasa, na kwa nini akubali kuolewa na mtu anayesimamisha mara moja kwa wiki kama alijua hatoweza kustahamili?
sahihi kabisa mkuu.
Ama kweli mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake
inatia hasira na hyo ndio inazidi kuongeza idad ya hit and run.
Sasa kama huyu hata siku zake za hatar hazijui. Sijui elim imemsaidia nn
Ama kweli mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake
Bahati mbaya, mimi namuelewa huyu mama. Maisha ya MMU siyo rahisi kama primary school. Suala lake ni gumu sana kiasi kwamba ni watu wachache watamuelewa