Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Ningekuwa mie simpi yeyote hiyo mimba. Vingenvyo huyo dada ajiandae kwa lolote.
 
Hapo sasa, na kwa nini akubali kuolewa na mtu anayesimamisha mara moja kwa wiki kama alijua hatoweza kustahamili?


Kingine ambacho kinanishangaza ni kwamba alisomeshwa kwa msaada au kwa kulipa fadhila flani labda kuolewa na aliemsomesha?? Maji ukiyavulia nguo lazima uyaoge huyu alishajua tatizo mwanzo alichukua hatua gani sasa alipokwenda kuzini nje ya ndoa hakujua anafanya makosa?? Kuna mambo Hua tunajitakiaga ndo kamaa haya
 
Ama kweli mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake

inatia hasira na hyo ndio inazidi kuongeza idad ya hit and run.
Sasa kama huyu hata siku zake za hatar hazijui. Sijui elim imemsaidia nn
 
Ninyi wanawake asilimia kubwa about 95% sio wa amini ni vizuri ungelimuweka mume wako wazi kabla hamjaoana na tatizo lens makubaliano kutoa nadhiri ya kukubali kuolewa bila kuangalia je wewe mwenyewe unampenda kweli?mkusikia nitakuoa mnaanza kudata utafika right ndio utakua umepata almasi,unasaba kuvunja agano la mwanzo na huyo x wako,then unakuja kukumbuka misri.elewa sasa ni vizuri ukinywee hicho kikombe kwa kumwambia ukweli.na ukubali matokeo maana ninyi wanawake mnampenda mtu kinafiki na zaidi sana tamaa inawasumbua.hakika utajutia ktk maisha yako
 
inatia hasira na hyo ndio inazidi kuongeza idad ya hit and run.

Sasa kama huyu hata siku zake za hatar hazijui. Sijui elim imemsaidia nn


Hahhha huyu ni hasara naona anajutia kuweka mada hapa maana amepewa maneno stahiki kabisa aibu hii namuonea huruma mumewe maskini
 
Ama kweli mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake

Bahati mbaya, mimi namuelewa huyu mama. Maisha ya MMU siyo rahisi kama primary school. Suala lake ni gumu sana kiasi kwamba ni watu wachache watamuelewa
 
Siku ya 14, jioni rafiki, usiku mista.. uwezekano wa mimba hiyo kuwa ya mista, ni mugumu sana, nafikiri hata we unajua, ila unataka kutuchosha.. asilimia kubwa mimba hiyo ni rafiki siyo ya mume.. chukua tahadhari mapema.
 
Kweli hamjali,. Mnaona vizuri kuweka password simu zenu kuficha mambo yenu na kuzinunulia makava mazuri sana lakini ni wepesi wa kutoa penzi kwa wanaume wengine na hamjui mnahatarisha afya zenu na waume zenu au wa penzi wenu.shame on you all whom you are not Faithfull in your marriage.shame on you again.uliyeomba ushauri hapo sikushauri kitu ni vizuri ukaenda ukamweleza mumeo.sikushauri urudie tena kuandika humu maana unawapa wengine uchungu ktk maisha ambayo yamewakuta haya unayoyaelezea
 
Mimba ni ya rafiki, ila umemkosea sana mume wako hiyo dhambi haitakuacha mpaka siku ya hukumu.
Si jambo dogo kama unavyoweza kufikiri au watu wanavyoweza kufikiri.
Vaa uhusika wake then pima naulichokifanya.
 
Bahati mbaya, mimi namuelewa huyu mama. Maisha ya MMU siyo rahisi kama primary school. Suala lake ni gumu sana kiasi kwamba ni watu wachache watamuelewa


Ugumu unakujaje babu! Hayo n madhara ya kuchepuka na kutotafta suluhu ya matatizo ya mumewe...mwana kulitaka ndie mwana kulipewa
 
duh we kiboko unacheza michezo hatari balaa
 
Naomba bastola yangu kwenye chaji pale nifumue mtu ubongo.............hawa watu ndo wanafanya dunia inakuwa siyo mahali salama pakuishi na joto kuongezeka
 
Kwa siku hiyo ya 14 kilichobaki ni uibe tu nyqele zao kila mmoja mtoto akizaliwa au kabla ukacheki DNA

Pole yako mumeo akikusoma humu atajua unamuongelea au kujihisi umeandika maneno mengi yasiyo na kuhimu kutaandika

Muwe mnapindisha na sio kufikiria kujitetea humu kwa watu usiowajua, andika unalouliza sepa.

Natumaini hajui username yako na sio jina la karibu na lako au lako weye.
 
Na haha mungu atakulipua maana unamdhihaki.kweli tamaa ni mbaya sana.yaani hata neno la mungu linaagiza msiachane isipokua kwa uasherati,sasa wewe tayari umeshamtanulia miguu mwanaume mwingine mungu aweza kukutoa katka maisha haya nitafute nikupe ushauri nini cha kufanya sio lazima tuonane
 
Umalaya wako huo umezidi. Unaliwa ovyo ovyo turn
.ptuiiuuu
 
Back
Top Bottom