Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

sasa wewe kwanini unakubali kugongwa nje ya ndoa yako?!
 
Siku ya 14, jioni rafiki, usiku mista.. uwezekano wa mimba hiyo kuwa ya mista, ni mugumu sana, nafikiri hata we unajua, ila unataka kutuchosha.. asilimia kubwa mimba hiyo ni rafiki siyo ya mume.. chukua tahadhari mapema.
Duh! Naona "mume" kura zinazidi kupungua tu! Watu wameamua kumpa ushindi wa kishindo "rafiki" Dada, mtangaze "rafiki" kuwa ndiye mshindi na mimba ni ya kwake. Wana JF wameamua kupeleka kilio kwa mume wako kwa kumpa ushindi wa kishindo huyo rafiki!!

Wana JF wana roho mbaya sana! Wanamchinja mume hivihivi bila kumuangalia usoni!!!!
 
..hivi wanawake siku hizI tumekuaje........
 
Bora walioolewa mapema ili mradi tu ndoa huku wanaendelea kuchepuka au Bora waliochelewa kwa kusubiri ampate atakaeridhika nae?
 
wanawake hawafai,hv nisomapo posts zenu nahis nazungumziwa mm kwa mmasai wang na muda huu yupo kwake na mtoto wangu...narudia wanawake hawafai
 
Moreen,
dhambi uliyofanya itakutafuna ktk maisha yako yote ya ndoa hata kwa Mola wako.

Ushauri wangu kama bado hujamwambia mumeo juu ya kupata mimba basi ni bora ufanye abortion ili uwe na free mind, pia achana kabisa na huyo `rafiki` yako ambaye ni mume wa mtu. Tulia na ndoa yako, muombe Mungu atakutatulia changamoto!!
 
niligundua ana matatizo makubwa kuhusu unyumba kabla hata ya ndoa ila nilidhani with time litaisha ila tatizo liliendelea na kuzidi baada ya ndoa, ejaculation inachukua less than two minutes hadi 4 to 5 days ndipo anapata erection tena. I promised myself never to be unfaithful, lakini imeshindikana.

well pole kwa unayopitia ila tatizo ni wewe maana badala ya kujutia kosa ( kwa kuwa wewe ni mke) unaweka sababu nyingi za kuhalalisha ulichofanya, sikunyooshei kidole ila kaa kimya hiyo mimba mpe mume wako wa ndoa
 

Sijasoma post zingine, naomba kuuliza mzunguko wako ni regular au irregular. Je, kwa kawaida unatumia siku ngapi kwenye mzunguko wako. Kama ni regular unatumia siku ngapi kwa circle. Na kama ni irregular, mzunguko mrefu unachukua siku ngapi na mfupi unachukua siku ngapi?

Nauliza hayo maana watu wengi wanafikiri kila mwanamke ovulation yake ni siku ya 14.
 
Wanawake hutafuta excuse yoyote kuhalalisha ufuska wao. Kama mumeo shoots blanks si muende mkatibiwe. Wewe hujampenda mumeo na uliolewa kwa sababu za kimaisha na si upendo. Bado upendo uko kwa huyo baradhuli anayekukamua unavyotaka. Ulichomfanyia mumeo ni laana kuu. Mimi nasema hivi kwa kuwa kuna mke wa mtu nilitembea naye na mwezi huo huo akashika mimba asijue kama ni yangu au ya mume wake. Mtoto amezaliwa anafanana na mimi mpaka midomo. Hakuna maumivu kama kuona mwanaume mwenzio anatunza mtoto ambaye kwa kiasi kikubwa ni wako, tena kwa upendo mkubwa. Jamaa hajui lakini yule mtoto kafanana na mimi mpaka pua ya kitutsi. Mpigie goti Mungu wako akusamehe na kamwe usimwambie mume wako, ndio itakuwa mwisho wa ndoa yako. Wake za watu wachepukaji wote hugongwa kavu, shame shame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…