fundichupi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 382
- 232
Mungu atusamehe sana... Hv hata kutumia morning pills nako ulishindwa baada ya kukutana nao wote huku ukijua it was a danger day..!? Mchepuko wako ana watoto wangapi, ukiwaangalia watoto wake wanatoka copy yake ama laah..!? Mmeo ana kiu ya watoto kwa sasa, na je kama ni ndio mmewahi kukutana mara ngapi kwa udi na uvumba ktk danger days zako ili mfanikishe ndoto yenu na imewahi kutimia hata mara moja..!? Hebu yatafakari haya maswali hafu utajipa jibu sahihi juu ya mtoto atakuwa wa nan, na iwapo atazaliwa sura italeta dondoo zipi na hali atayokuwa nayo mmeo akijua ww ni LOOSE..
#kna mda maamuzi magumu hufanywa na vijana wa chuo wakiangalia maisha yao na zawadi ya matendo yao, nakuombea usije jikuta unafanya maamuzi hayo mana baada ya mda mtu hujuta kwa nn hakulea tuu.
Ila kiukweli ww ni kama kunguru