Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Mungu atusamehe sana... Hv hata kutumia morning pills nako ulishindwa baada ya kukutana nao wote huku ukijua it was a danger day..!? Mchepuko wako ana watoto wangapi, ukiwaangalia watoto wake wanatoka copy yake ama laah..!? Mmeo ana kiu ya watoto kwa sasa, na je kama ni ndio mmewahi kukutana mara ngapi kwa udi na uvumba ktk danger days zako ili mfanikishe ndoto yenu na imewahi kutimia hata mara moja..!? Hebu yatafakari haya maswali hafu utajipa jibu sahihi juu ya mtoto atakuwa wa nan, na iwapo atazaliwa sura italeta dondoo zipi na hali atayokuwa nayo mmeo akijua ww ni LOOSE..


#kna mda maamuzi magumu hufanywa na vijana wa chuo wakiangalia maisha yao na zawadi ya matendo yao, nakuombea usije jikuta unafanya maamuzi hayo mana baada ya mda mtu hujuta kwa nn hakulea tuu.


Ila kiukweli ww ni kama kunguru
 
Pole kwa tatizo ulilonalo,ila nilivyosoma na kuelewa.Probably hiyo mimba ni ya rafiki yako maana umetoa maelezo yanayotoa picha ya matatizo ya mme wako,lkn pia kama uhusiano wako na mme wako umechukua mda mrefu bila wewe kubeba ujauzito hiyo pia inakupa jibu la moja kwa moja kuwa mimba ni ya rafiki yako.

Ushauri hata kama utagundua ni mimba ya rafiki yako usimwambie mme wako ataumia sana na huenda hata kuhatarisha maisha yako,sote tunajua na kutumbua anayejua mtoto ni wa nani ni mama yake na sisi akina baba huwa tunaambiwa na kuaminishwa ila mwenye kujua uhalali wa mtoto ni mama peke yake.

Kwa wakati mwingine jifunze epuka mchepuko maana madhara yake ndio hayo.
 
yaan! kuoa manamake masom!...........
eti oooh alikuwa msaada mkubwa kipindi nasoma...pumbafu mkubwa ww(sor kama utafikiri nmekutuc...hapa nmekwambia ukwel!)
back to topic...hiyo mimba hutawezajua kua ni ya mmeo au ya uyo kahaba mwenzio..over.
 
Hata aibu hawaoni kuja hapa na kisingizio et jamaa hayupo vizuri kitandan.... mnakimbilia ndoa kisa anagar na nyumba ssa ujana unawaaaumbuaaaa... matusi yako yote dunian kwako
 
Miss chagga umempa ukweli..hili dada chafu sana
 
Hivi wanaume hawagunduagi mtu aliyetoka kutumika siku hiyo hiyo..
 
huko kwingine uwe unatumia condom
mimba inawezachomoka ukimwi je?
Pole kama huna uhakika kaitoe tu yasije kuwa makubwa sorry kwa huu ushauri
 
Hi,

Nimeshika ujauzito ila nimeshindwa kuelewa kama ni wa Rafiki yangu au Mr
Nilikutana na Rafiki jioni ya siku ya kumi na nne ya mzunguko wangu, usiku nikakutana na mr, baada ya hapo sijakutana na wote hadi siku ya 21 ya mzunguko nilipokutana na hubby tena.

Msinielewe vibaya, sijapenda, iko hivi, Nina Rafiki yangu ambae ni Mume wa mtu, tumetoka mbali, yeye ndio aligharamia elimu yangu ya chuo kwa 80% diploma 2 yrs na degree 3 yrs, sikufaulu vizuri form six nikalazimika kuunga unga.

Hakuishia hapo amenisaidia kupata kazi pia, alioa kabla hatujafahamiana, si mtu mzima kiviile, nadhan ana 40+ kwa sasa nilipoanza kazi akajitokeza mchumba tukafunga ndoa, niligundua ana matatizo makubwa kuhusu unyumba kabla hata ya ndoa ila nilidhan with time litaisha ila tatizo liliendelea na kuzidi baada ya ndoa, ejaculation inachukua less than 2 two minutes hadi 4 to 5 days ndipo anapata erection tena
I promised myself never to be unfaithful, lakini imeshindikana.

Somehow, i don't know how tukaanza upya mawasiliano na yule x wangu ambae nilikua nikimkwepa tangu nimeolewa ingawa hakukata tamaa.

Tatizo lenyewe ni hili:-

Nilikutana na hubby siku ya 6 ya mzunguko Mpya,hatukufanya tena hadi siku ya 10 ya mzunguko nikakutana na yule Rafiki yangu, sikufanya tena maana Mr alikua safari, hadi siku ya 14 ya mzunguko nikafanya tena na Rafiki yangu ilikua jioni after work, usiku bila kutarajia Mr angekua amerudi akanihitaji tukafanya usiku, sikufanya tena na yeyote hadi siku ya 21 ya mzunguko nilipofanya tena na hubby.Na ninahisi mimba iliingia siku hiyo ila ndio sijui ni ya Rafiki jioni au Mr usiku

Kwa mahesabu Haya naomba mnaojua mnisaidie kuona ni lini hapo mimba iliingia na inaweza kuwa ya nani.

Nahitaji ushauri kuhusu hilo eneo la mimba, hayo mengine mwachieni ngoswe.

Asante

Huyo bila shaka mchepuko unahusika
 
Huna hata aibu. Kama ulimpenda huyo rafk yako si angekuoa? Alikughalamia lakn baadae akaona huna sifa ya kuwa mke ndio maana hakukuoa.

Nawewe bila ajizi umemthibitishia kuwa ww ni malaya zaidi ya mbwa. Umeamua kumletea mmeo najisi ndani.

Huna utetezi wowote, wewe ni mal***
 
Ndio wake zetu hawa, tutafanyaje sasa!

afu tena huyu ni msomi etiii... aseee bora niendelee na wa kona bar tu kwanza wale wa chapa ilale kesho unadaka mwingine mimi kuoa bado sana....
 
Hivi wanaume hawagunduagi mtu aliyetoka kutumika siku hiyo hiyo..

Kiukweli haiwezekani, zaidi ya kuhisi tu upande wa uchovu na harufu, ila ktk kei, huwezi jua! Inaweza ikawa imesinyaa tu au kupwaya kwa sababu zake! Ila usijaribu kabisa kumfanyia mr. Wako hivi, ni tusi kubwa sama na Mungu atakuadhibu!
 
HapA tatizo sio tu kutoridhishwa na mume bali analipa fadhila, pia ana particles za umalaya, lidada lichafuuuuu. Bora ungemnyima mmeo kuliko kusababisha aguse mbegu za mwizi wakee kinyaaa
 
Hivi wanaume hawagunduagi mtu aliyetoka kutumika siku hiyo hiyo..


Mom hata wangekua wanajua huyu mumewe Ana stimulate baada ya siku nne au tano sasa atajuaje mkewe ametumika me hata nimeshindwa la kumshauri avune alichopanda tu
 
Back
Top Bottom