Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Ana uthubutu..pole yake mume mtu.

Ningemuona WA maana if wangeyaongea hayo matatizo ya mumewe yy na mumewe kwa pamoja wakajua jinsi ya kusuluhisha sasa kaamua kuchepuka hayo ndo madhara sasa na hakuna namna tena
 
Huna hata aibu malaya ww. Kama ulimpenda huyo rafk yako si angekuoa? Alikughalamia lakn baadae akaona huna sifa ya kuwa mke ndio maana hakukuoa.

Nawewe bila ajizi umemthibitishia kuwa ww ni malaya zaidi ya mbwa. Umeamua kumletea mmeo najisi ndani.

Huna utetezi wowote, wew n malaya

taratibu mgiriki mpe ushauri dada, usikute hata ni ndugu yako si unajua humu hakuna anae mjua mwenzie
 
Afadhali sijaoa....kama mke mwenyewe ndo hivi duuh......kuna umuhimu sana wanaume waliooa kumiliki bunduki

Usiseme afadhali hujaoa ilihali una mpango wa kuoa, sema Mungu akisaidie upate mke mwema.Kumbuka binadamu hatulingani.
 
Hivi wanaume hawagunduagi mtu aliyetoka kutumika siku hiyo hiyo..

huyo mume naye ni mpumbavu sana, hivi anashindwaje kugundua hilo? Labda iwe kama ni Stori.. Lakini mimi hata ugegedwe majuzi nitajua tu
 
Usiseme afadhali hujaoa ilihali una mpango wa kuoa, sema Mungu akisaidie upate mke mwema.Kumbuka binadamu hatulingani.

Nikweli aisee katika kuoa inabidi kumshirikisha Mungu lasivyo unaweza kuvagaa kahaba akakufanyia vibweka
 
Mtu anaposoma hadi mpaka kufikia degree jamii inatambua kuwa ni msomi na anaweza kuwa suruhisho kwa ambao hawajosoma.

Lakn hyo ni tofauti hawa wanawake wasomi ndio sehem ya tatzo japo sio wote lakn malaya kupindukia. Ni bora ukaoe kahaba yawezekana anajiuza kwa shida na ukimpa mtaji anaweza asiendelee na tabia yake.

Ndio maana mm niliapa kutooa mwanamke aliyemaliza chuo chochote kile. Maana hamna la maana.

Sasa kama hili limesoma lakn bado zero. Kwanza halijui hata mzunguko wake, pili ni limalaya halina hata akili, tatu halijui kwann linafanya ngono. Kama lina kaz, lina mume , lina uwezo wa kupata pesa bila kuhongwa lakn bado linagawa uchi. Hii aibu

hiii umenifurahisha... ni lisomi lina mume, lina gari, lina uwezo wa kubadilisha kuanzi nguo ya ndani mpaka chakula kila siku... lakini bado limegawa sambusa tena for free alafu kavukavu alafu lilivyotoka hapo hata alikupita bafuni likaenda kuunganishiwa vingine huko alafu sasa hivi linakuja hapa eti nifanyeje!! shenzii zake litupe na sisi basii maanake ni limama huruma.. MANINA ZAKE ndio maana mi nimepanga siku ikitokea nimeoa basi safari ya kwetu MWAMAMASHIMBA inahusika na sio hawa wapuuzi wa mjini wanaojitia wasomiii
 
Daaah wanawake hawa twende nao kiakiliii .usipende mkeo kumweka jirani na x wake lazima watakumbushia.issue niliyoiona sio kwamba unalipa fadhira x ni big No issue ulimiss machine ya x wako pole sana .eeee Mungu niepushe na wanawake wa mtindo huu wasio na huruma wala chembe za uoga wala aibu za kusaliti ndoa zao.then mtu anishauri kuoa daaaaaaah hapana ntaoa nikiwa nazeeka.
 
Mweee leo wanawake tutakula za uso, Kila mtu anaghairi kuoa eti mwee. Sawa kakosea sana lakini ndo isiwe fimbo ya michongoma sasa, mnatuzibuaje. Akikosea mwanamke mmoja wote mnaghairi kuoa, mbona akifanya zuri mwanamke mmoja, hamuwi inspired kuoa?
 
Mtoto ni mume wako kwa sasa ...mpaka pale itakapojulikana vinginevyo. Mengine umejibiwa kiufasaha na wenye hasira na tabia yako
 
Na hapa utakuta watukanaji na washangaaji nao wametoka kutiana na michepuko yao
ila huyu ndo anaonekana mkosaji
[MENTION=50658]Hivi hujagundua leo humu wanaume wote ni watakatifu a.k.a mashahidi wa jehova.
 
huyo mume naye ni mpumbavu sana, hivi anashindwaje kugundua hilo? Labda iwe kama ni Stori.. Lakini mimi hata ugegedwe majuzi nitajua tu

Haya bhana utajua!! Wanawake huwafahanu vizuri wewe
 
Mweee leo wanawake tutakula za uso, Kila mtu anaghairi kuoa eti mwee. Sawa kakosea sana lakini ndo isiwe fimbo ya michongoma sasa, mnatuzibuaje. Akikosea mwanamke mmoja wote mnaghairi kuoa, mbona akifanya zuri mwanamke mmoja, hamuwi inspired kuoa?

kwa hali hii shem ni bora niendelea kupika mwenyewe, kufua kuosha vyombo na nk... Lakini kwa hali hii bado sana
 
hiii umenifurahisha... ni lisomi lina mume, lina gari, lina uwezo wa kubadilisha kuanzi nguo ya ndani mpaka chakula kila siku... lakini bado limegawa sambusa tena for free alafu kavukavu alafu lilivyotoka hapo hata alikupita bafuni likaenda kuunganishiwa vingine huko alafu sasa hivi linakuja hapa eti nifanyeje!! shenzii zake litupe na sisi basii maanake ni limama huruma.. MANINA ZAKE ndio maana mi nimepanga siku ikitokea nimeoa basi safari ya kwetu MWAMAMASHIMBA inahusika na sio hawa wapuuzi wa mjini wanaojitia wasomiii
Calm down mambo sio magumu kwa wote kiasi hicho.Take it easy ndoa ni nzuri tu sema wengine ndo hawajui thamani yake wanaidhalilisha.
 
Haya bhana utajua!! Wanawake huwafahanu vizuri wewe

mkuu alama uliyoiweka mwenyewe haiwezi kukushinda kuigundua.. Itakuwa ngumu mlangoni ila kule ndani utakutana na Mto msimbazi
 
Mweee leo wanawake tutakula za uso, Kila mtu anaghairi kuoa eti mwee. Sawa kakosea sana lakini ndo isiwe fimbo ya michongoma sasa, mnatuzibuaje. Akikosea mwanamke mmoja wote mnaghairi kuoa, mbona akifanya zuri mwanamke mmoja, hamuwi inspired kuoa?

We acha tu wanaume wote leo ni wateule wa Mungu.
 
Back
Top Bottom