Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

I guess ni kusadikika kama upo dar fika kkkt Ubungo muone Dada Grace atakusaidia katika maombi na ushauri,Mungu akubariku
 
kwa hali hii shem ni bora niendelea kupika mwenyewe, kufua kuosha vyombo na nk... Lakini kwa hali hii bado sana
Tushawazoea nyie bana, so hamtusumbui. Na uzuri ni kwamba wengi wenu mtaoa tu. Ni kumwomba tu Mungu akupe mke mwema, mbona hata kwenye uchumba tu huku mnalizwa haswa
 
mtu anaposoma hadi mpaka kufikia degree jamii inatambua kuwa ni msomi na anaweza kuwa suruhisho kwa ambao hawajosoma.

Lakn hyo ni tofauti hawa wanawake wasomi ndio sehem ya tatzo japo sio wote lakn malaya kupindukia. Ni bora ukaoe kahaba yawezekana anajiuza kwa shida na ukimpa mtaji anaweza asiendelee na tabia yake.

Ndio maana mm niliapa kutooa mwanamke aliyemaliza chuo chochote kile. Maana hamna la maana.

sasa kama hili limesoma lakn bado zero. Kwanza halijui hata mzunguko wake, pili ni limalaya halina hata akili, tatu halijui kwann linafanya ngono. Kama lina kaz, lina mume , lina uwezo wa kupata pesa bila kuhongwa lakn bado linagawa uchi. Hii aibu

kwaaa kweeeeli amekukera!!!
 
Tushawazoea nyie bana, so hamtusumbui. Na uzuri ni kwamba wengi wenu mtaoa tu. Ni kumwomba tu Mungu akupe mke mwema, mbona hata kwenye uchumba tu huku mnalizwa haswa

haya bhana naona matatizo Yangu yamekuwa majibu ya kuhalalisha hili lililotokea.. Nimelikubali dongo lako na kulipokea kwa Mikono miwili
 
Jamani taratibu, jaribuni kuwa waungwana kidogo dada anatatizo tumpe ushauri kwa upendo tusimtusi na kumkejeli, wanaume tuvumiliane
 
Ukafanya na....! ukafanya na....! Sawa we fanya tu,
Ukichukua kadi ya kliniki na kupima jibu mimi nitakuwa nalo la ni nani atakuwa amekupa VIH/SDIA?
 
Tushawazoea nyie bana, so hamtusumbui. Na uzuri ni kwamba wengi wenu mtaoa tu. Ni kumwomba tu Mungu akupe mke mwema, mbona hata kwenye uchumba tu huku mnalizwa haswa

Usichanganye kuoa na kuwa na mtoto!
 
Mimba ni ya huyo aliyetoa zenye nguvu kubwa. Tatizo lako weye si mimba ni ya nani kwani haijalishi. Tatizo ni, Mtoto ni wa nani??
Elewa, mumeo amekuwa akitamani siku moja na weye uteme mate hovyo na kusikia kichefuchefu. Sasa, weye umepakiwa mzigo, si uendelee kuubeba mpaka uufikishe? Ka unamhurumia huyo rafiki, endelea kumpa mechi za kirafiki ila mwambiye mumeo kuwa sasa weye ni tiyari. Aanze maandalizi ya kupata mtoto. Na hilo jizi liambie kuwa mumeo kishakujaza hivyo ajilambie atakavyo huna hofu tena.
Siku toto likizaliwa, kwa kuwa litafanana na huyo rafiki, amua tu, mkaribishe nyumbani, fanya kila njia mumeo ampokee ka rafiki yenu ili aweze kuleta supu kwa shem.
Namna hiyo, utakuwa umemsaidia uzao mumeo, na uharakishe kuzaa wengine ili baadaye uwagawie hao waume zako watoto. Mbona rahisi tu. Hakuna mwanaume wako hata mmoja anapasua kichwa ila weye. Tulia na siri yako wachanganye ubongo ili wasikuache hata mmoja. Kama uliwaweza wote wawili siku moja hakuna shida huko baadaye, utawamudu tu maana yaonesha weye ni Jembe au tingatinga
 
haya bhana naona matatizo Yangu yamekuwa majibu ya kuhalalisha hili lililotokea.. Nimelikubali dongo lako na kulipokea kwa Mikono miwili
Daah shem sio kwa unavyotaka kunifanyia hakyanani. Nimeongea tu wala sikuwaza kama ntakugusa issue yako. Siwezi nikakucheka kwa sababu sijui kesho mimi yatanikuta yapi. Sorry kama umeelewa tofauti ila Mungu ananiona, sijakudongoa hata.
 
Kitanda hakizai haramu. Mtoto ni wao wote. Blame it on science

DNA From Sperm Of Ex Partners Lingers In Female Flies And Influences The Genetics Of Her Offspring

The Problem With Ex-es: How Previous Partners Affect Your Offspring

?The genetic tests showed that even though the second male fertilized the eggs, the offsprings? size was determine by the condition of the first male,? she says of her findings, published in the journal Ecology Letters. ?The cool thing is that the non-genetic effects we are seeing are not necessarily tied to the fertilization itself.?
Cool, or really disturbing. The implications of the study are that any mates a female has had may leave some legacy?in the form of physical or other traits that are carried in the semen (but not the DNA-containing sperm)?that could show up in her future offspring with another mate.
 
taratibu mgiriki mpe ushauri dada, usikute hata ni ndugu yako si unajua humu hakuna anae mjua mwenzie

tena kama ni ndg yangu ntamtia ukilema. Maana kwa kipigo atakacho pata sina iman kama atakuwa salama. Mwanamke kaa huyu ni aibu hata kuitwa ndg ni bora kutokuwa na ndg kuliko huyu mwanamke.
 
Mungu wasaidie wanaume waishi maisha yao sawa sawa na kauli zao za humu Jf, mnavyoonyeshwa kuchukizwa kwa maneno ingekua na matendo yenu ni hivyo duniani kungekua raha sana, cha ajabu mnatype kwa hisia humu but nje ya keyboard mna wake zenu na mnachepuka vizuri tu.
 
huyo mume naye ni mpumbavu sana, hivi anashindwaje kugundua hilo? Labda iwe kama ni Stori.. Lakini mimi hata ugegedwe majuzi nitajua tu

mkuu usingee hivyo yasikukute.
Sema hujakutana na mwanamke aliyepinda
 
Tushawazoea nyie bana, so hamtusumbui. Na uzuri ni kwamba wengi wenu mtaoa tu. Ni kumwomba tu Mungu akupe mke mwema, mbona hata kwenye uchumba tu huku mnalizwa haswa

Mi naona sawa tu kila mtu akipata mnyonge wake naiwe hivyo wanaume wangapi wanatoka kulala na mchepuko na jioni wife akitaka anapewa?
 
Daah shem sio kwa unavyotaka kunifanyia hakyanani. Nimeongea tu wala sikuwaza kama ntakugusa issue yako. Siwezi nikakucheka kwa sababu sijui kesho mimi yatanikuta yapi. Sorry kama umeelewa tofauti ila Mungu ananiona, sijakudongoa hata.

haya bhana
 
Mi naona sawa tu kila mtu akipata mnyonge wake naiwe hivyo wanaume wangapi wanatoka kulala na mchepuko na jioni wife akitaka anapewa?
Daah siku zote mwanamke na mwanaume hatuwezi kuwa judged sawa, ndo maana wao wanaitwa marijali afu sisi tunaitwa malaya. But I wish kila mmoja wetu angejua usaliti unavyouma na kuharibu familia
 
  • Thanks
Reactions: nao
Na hapa utakuta watukanaji na washangaaji nao wametoka kutiana na michepuko yao
ila huyu ndo anaonekana mkosaji

kutiana nje ya ndoa ni kosa kubwa lakn kosa kubwa zaidi ambalo sawa na mauaji ni kitendo cha kubeba mimba ya mwanaume mwingne nje ya ndoa wakat umeolewa..

Umeolewa kwaajli gani? Kama umefikia hatua ya kumletea mmeo familia ya nje?

Siku zote mwanamke ndio mlinzi wa mimba yake itokee ama isitokee mwanamke ndio anaamua.

Sasa huyu kilaza hajui hata mzunguko wake. Je atajua kuitunza ndoa yake? Dah! Oophhh
 
Back
Top Bottom