Since 2005, Kenya has spent a cumulative $8.8 billion (Sh884billion) on military hardware

Kenya ndo iliaza ku train wanajeshi wa Somalia, next round Uganda ika train wanajeshi wengine....Ikawa imefika chance ya Tz kutrain wengine.. Serikali ikawa imekubali mwanzoni...watanzania wakaanza kulia lia na kuomba serikali yao isifanye hivyo..... Alshabaab wakatoa onyo kali kwa Tanzania kujiingiza kwa mambo ya somalia..... Sema tanzania kueka mkia katikati ya miguu na kuficha kichwa chini ya mchanga!
Mpaka wa leo hatujawai skia serikali ya tz ikiongea lolote kusu hilo jambo au hata kuhusu somalia....... ha, the Coward of the county
 
Safi sana, hii dunia sio ya kuchekea, lazima tuendelee kuwa tayari na kila aina ya zana za vita.
 
Kwikwikwikwi. Hao Al Shababu wala sio magaidi. Ni wanamgambo tu wamewatoa tumbo joto mnalialia kama watoto yatima.
Jeshi lenu ni nyoooooonge mno.
i seriously need to know your age....I can bet ukienda sana uko 20
 
Kwikwikwikwikwi acha nicheke kabisa yaaani Marekani iliwakimbia Al Shababu!!!!? Hebu acha utoto bana be realistic ndugu.
Acha kutoa visingizio visivyo na maana. Nyie mnataka kujipima ubavu kwa vitu ambavyo haviwahusu ona sasa mnavyo chinjwa kama kuku. Zaidi ya wanajeshi 1000 wameshauawa huko Somalia halafu mnakuja kupiga porojo hapa JF,

Jeshi lenu ni dhaifu mno. Jifunzeni TZ kufanya mambo kidiplomasia sio huo ujinga mnaoufanya. Kwani kuna ulazima wa jeshi lenu kwenda somalia kama sio upuuzi tu na utoto kwamba mjaribu na nyie kupigana.

Acheni ushamba jeshi lenu bado changa sana. Halina strategy, limejaa ukabila na tamaa ya mali. Linatumiwa na wanasiasa kwa manufaa yao.

Ukifuatilia utaona kuwa huko somalia mnauana nyie kwa nyie. Mfano tunao pale wastegate mnaanza kupigana ninyi kwa ninyi badala ya kuokoa watu. Acheni ukabila kwanza ndio mjaribu kusimama kama jeshi.
 
Safi sana, hii dunia sio ya kuchekea, lazima tuendelee kuwa tayari na kila aina ya zana za vita.
Hapo nimewapa mfano tu. JWTZ ni namba 27 duniani.
 
Hapo nimewapa mfano tu. JWTZ ni namba 27 duniani.
hehe, kweli wa tz ni bongolala,bado zile propaganda za ujamaa zimewajaa kichwani, kushawishiwa na serikali ya CCM ni rahisi sana.
kama nyi number 27 basi sisi tulituma watu kwa mars.....

number 27, hapo umejieka mbele ya philipines,bangladesh, belgium, belarus, south africa,, maleyasia,
 
hehe, kweli wa tz ni bongolala,bado zile propaganda za ujamaa zimewajaa kichwani, kushawishiwa na serikali ya CCM ni rahisi sana
bwahahahaha. Familia ya kenyatta itawakamua mpaka mtabakia mifupa. Huoni hata aibu wewe. Kenya ni moja ya nchi ya watu wenye uwezo mdogo sana wa kung'amua mambo.

Wewe hapa unaleta matangazo ya matumizi ya jeshi huku jeshi lako likipukutika hovyo hovyo kule somalia mbele ya wanamgambo wasio hata na chakula.

Kenya nyie ni wadhaifu sana yaani jeshi lenu ni wanyoooonge na tena wamelegea legeeee kama mrenda.
Kwikwikwikwi. Miaka hii mtatukoma mpaka mtaomba po. Tunawabana kila kona mpaka mtuite kaka mkubwa.
 
, spain, mexico... hizo ni kadhaa tu ambazo ziko kichwani ambao majeshi yao ya nguvu lakini hawafikii hata yop 30..

JWTZ haliko hata top 100 duniani... nyinyi ni zile nchi ata hua hazikumbukwi
 
, spain, mexico... hizo ni kadhaa tu ambazo ziko kichwani ambao majeshi yao ya nguvu lakini hawafikii hata yop 30
Waje kufanya nini hapo somalia!!!? Nyie mmejitakia wenyewe wakati hamnauwezo wa kupigana.
Unajua Spain wewe au kwa sababu umepata mahindi ya msaada kutoka Tanzania na umekula na kushiba ndio unakuja kupiga kelele hapa!!?

Nashangaa sana nyie wadogo zetu kenya mnavyo jifananisha na mataifa makubwa wakati ubavu hata wa kupigana na wanamgambo hamuna.

Ondoeni majeshi yenu huko na hakuna atakaye wafuata. Halafu Wasomali muwarudishie eneno lao muone kama hamutaishi kwa amani.

Mnatafuta fujo tu kila sehemu. Mara mnagombana na Uganda kuhusu kisiwa cha migingo, Mara mnagombana na S. Sudani kuhusu pale triangle, Mnagombana na Ethiopia kuhusu mpaka na Mnataka kugombana na giant wa Vita Tanzania. Nyie mtaishi na jirani gani? Washamba nyie wacha mcharazwe mpaka akili zirudi.
 
Nani muuzaji mkubwa silaha kwenu? Sammuel999
USA Germany na South Africa

Kenya has 306 tanks Tanzania has 75

Wacha Annael ajibambe tu!!

Nimechoka ku argue na fala

Kenyas annual military budget ni 2.21bn$.
Tanzania ni 347mn$

Kenya tuna american fighter jets hapa naona fala anaringa na za china sijui nianzie wapi ....wacha ajibambe
 
kwikwikwikw. Hizo za marekani zinawasaidia nini sasa? Hiyo Budget kubwa ni kwaajili ya nini sasa?
Kwanini wanajeshi wenu waibe huku budget yenu kubwa!!!!!.
Hiyo budget ya TZ umeitoa wapi? Je umeitoa kwenye Government ya TZ? au umeamua kujisifia tu?

Umeviona vitungua ndenge hivyo. Jaribu TZ uone. Tunaweza kuweka kobora juu ya mlima kilimanjaro na kuiteketeza Nairobi ndani ya sekunde tano.

Je wewe unaweza fika dar au dodoma? How?
Nyie kenya ni very weak country.
 
We have russia building attack Helicopters to specifically sell them to kenya

Kenyas military budget is equal to Ukraines military budget
Kama mnafikiria vita ya somalia ni same na Country vs Country just declare war in kenya muone tutavyo wamaliza na masiku!!

Hatutajali itakuwa kuwanyeshea kutoka angani na baharini somalia tunaomba ruhusa kufanya airstrikes but hyo hatutakuwa tunaomba ruhusa itakuwa airstrikes upon airstrikes
Ndio mtatambua vyema mko mbali sana tanzania


 
Just try Kenya and see CCM inawachocha waTZ na tuvifaa tudogo mnaona aaaah tuko mbali ....hamko karibu!!!

Kenya has 3-4 times the number of tanks tanzania has!!

Kenya has more fighter jets than any country in East and central Africa including Nigeria

Laikipia airbase is the largest military airbase in East and central africa

In a war 1 tanzanian made build in 1960s will have to deal with 3-4 kenyan tanks build in early 2000s

Kenyas Jets take 45mins from easleigh airbase in Nairobi to bomb areas in somalia and back to tanzania it will take 30mins to dodoma and back hamtapenda !!!
 
Just try Kenya and see CCM inawachocha waTZ na tuvifaa tudogo mnaona aaaah tuko mbali ....hamko karibu!!!

Kenya has 3-4 times the number of tanks tanzania has!!

Kenya has more fighter jets than any country in East and central Africa including Nigeria

Laikipia airbase is the largest military airbase in East and central africa

In a war 1 tanzanian made build in 1960s will have to deal with 3-4 kenyan tanks build in early 2000s

Kenyas Jets take 45mins from easleigh airbase in Nairobi to bomb areas in somalia and back to tanzania it will take 30mins to dodoma and back hamtapenda !!!
 
Kwikwikwi ngoja sasa tunakuja. Kwaajiri ya kutungua ndege na kusafisha mitaa.
 
I don't think all that money has been spent wisely...1/2 of it ends up in being eaten by the generals...Look at the current top general MWATHETHE and the one before him KARANGI..They look pregnant.Same thing goes to Nigeria, look how ill equipped their military is.I would like to see new fighter jets like f-16s.The f-5s are like 60 yrs old and they should be used as trainer jets .The PUMA COPTERS look like toys that can be shot down with a stone.We only have like 3-5 copters that are truly modern and one of them crashed at the on set of operation linda nchi
 
Juakali1980 well juzi tumepita LCD tuko middle income LCD countries huwa na all but arms trade embagos yaani waeza nunua anything but arms in large amount kenya na nigeria toka 2013 zimepita hyo threshold sasa tunaunda wajir base na laikipia inapata upgrde within no time tutakuwa na f-16 si juzi wamesema pilots wa kdf walipelekwa training israel na usa so by 2020 we will have like 10maybe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…