Since 2005, Kenya has spent a cumulative $8.8 billion (Sh884billion) on military hardware

Since 2005, Kenya has spent a cumulative $8.8 billion (Sh884billion) on military hardware

Unapoweka picha ya vitu ambavyo hamkonavyo unamaanisha nini wewe leta hapa ndege zenu. Nyie mpo na F-5 sisi tupo na Chengdu F-7. Nyie mko marekani sisi tupo Russia na China. Leta hizo zenu mpya kabisa tushindanishe na gharama yenu hiyo,
1476552999329.jpg

Laikipia airbase
1476553004413.jpg

1476553037394.png

Sina wakati na wewe na hlo cheng'du lenu

1476553073826.jpg
 
We have russia building attack Helicopters to specifically sell them to kenya

Kenyas military budget is equal to Ukraines military budget
Kama mnafikiria vita ya somalia ni same na Country vs Country just declare war in kenya muone tutavyo wamaliza na masiku!!

Hatutajali itakuwa kuwanyeshea kutoka angani na baharini somalia tunaomba ruhusa kufanya airstrikes but hyo hatutakuwa tunaomba ruhusa itakuwa airstrikes upon airstrikes
Ndio mtatambua vyema mko mbali sana tanzania
View attachment 418619View attachment 418620

View attachment 418622View attachment 418623View attachment 418624View attachment 418625View attachment 418626View attachment 418627

Hahahaaaa, we jamaa buana.
 
Hizo mbona F-5 tu wala hakuna tofauti yoyote ni mbwembwe tu hizo
Sasa hebu twende taratibu
Sisi tulikuwa na F-7 12 mwaka 2014 tumeingiza J-7G 14. Sasa tuendelee sasa kupimana ubavu. Ukiunganisha 12 na hizi 14 tayari tupo na Fighter jest 26.
I quit a guy comparing f-5e fighter jets that fought gulf wars and the sux day war israeli invasion against all arabian peninsula tu Cheng'du what war has chengdu fought???

Smh

Up close with Kenya's first female warship engineer

1476554383468.jpg
1476554389133.jpg
1476554394157.jpg
1476554399433.jpg

This is a war we will never win i cant keep in my righy mind comparing KDF with a 2.21bn$ budget to TPDF with a 347mn$ budget mpaka muingie somalia ama si tafadhali mchokoze kenya tuone nani atashinda friendly???

We will put you people kwa manyattas and rule Danganyika for years kweli CCM inawapa porojo mingi hamna any lakini hapa JF utadhani mnayo Hebu tembeeni ndio mjue mlivyo chini
 
I quit a guy comparing f-5e fighter jets that fought gulf wars and the sux day war israeli invasion against all arabian peninsula tu Cheng'du what war has chengdu fought???

Smh

Up close with Kenya's first female warship engineer

View attachment 418707View attachment 418708View attachment 418709View attachment 418710

Ndu mimi nataka uweze kuprove hizo silaha maana naona unaleta meli tu ambazo TZ zipo nyingi tu.
 
Ndu mimi nataka uweze kuprove hizo silaha maana naona unaleta meli tu ambazo TZ zipo nyingi tu.
Give me one war chengdu fought!!!!

Anyway am done with this topic and since Magufuli seems to be creating a cold war with kenya It wont ne long enough before you get ur answers

Unless his ally raila wins ....sadly am team Raila so we will never know!!
 
Twende taratibu bro acha hasira

Chengdu J-7 ni version ya Mikoyan-Gurevich MiG-21
soma hapa kwa maelezo zaidi
Mikoyan-Gurevich MiG-21 - Wikipedia
Lakini hizo zilikuwa zinatumika zamani hapa TZ. Sasa hivi mwaka 2014 tumekuja na F-7MG upo hapo?
 
I quit a guy comparing f-5e fighter jets that fought gulf wars and the sux day war israeli invasion against all arabian peninsula tu Cheng'du what war has chengdu fought???

Smh

Up close with Kenya's first female warship engineer

View attachment 418707View attachment 418708View attachment 418709View attachment 418710

This is a war we will never win i cant keep in my righy mind comparing KDF with a 2.21bn$ budget to TPDF with a 347mn$ budget mpaka muingie somalia ama si tafadhali mchokoze kenya tuone nani atashinda friendly???

We will put you people kwa manyattas and rule Danganyika for years kweli CCM inawapa porojo mingi hamna any lakini hapa JF utadhani mnayo Hebu tembeeni ndio mjue mlivyo chini
Tutaanza na hiyo nyerere bridge
 
Ok tunaanza na forum hii hapa

F-5E Tiger II Vs. J-7G ACM

Lakini kuna maelezo haya kidogo
This brings us to the basic conclusion that both the F-7G and F-5E are around the same aerodynamic ballpark.

In addition, we note that the F-7G had automatic maneuvering flaps and other modern features absent with the F-5.

The F-7PG also beats the F-5E on thrust to weight ratio, rate of climb and maximum speed.

However, the F-5E has better range.

Overall, safe to say the F-7G is a better WVR fighter hands down.

Kisha angalia hapa
Pakistan Military Consortium :: www.PakDef.info

Analysis

The F-7MG has considerably improved subsonic and transonic flight performance. Coupled with excellent turning capability and acceleration, the combat potential is enhanced tremendously. The Grifo-7/AIM-9L combination on board PAF’s F-7PG brings the aircraft much closer to the F-16 in close combat capabilities and the PAF must be credited with extracting the maximum from an innovatively redesigned low-cost fighter.

Sasa kwa maelezo hayo F-7MG is better than F-5E kumbuka kenya hawapo na F-5E wapo na old one yaan F-5 tu.
Hiyo F-7MG inakaribiana na F-16

Ngoja tuendelee.
 
USA Germany na South Africa

Kenya has 306 tanks Tanzania has 75

Wacha Annael ajibambe tu!!

Nimechoka ku argue na fala

Kenyas annual military budget ni 2.21bn$.
Tanzania ni 347mn$

Kenya tuna american fighter jets hapa naona fala anaringa na za china sijui nianzie wapi ....wacha ajibambe
Nimeuliza tu wanunuaji, nashkuru umejinibu. Hayo mengine siko nayo. Nikiangalia changamoto za kiusalama mnaozikabili wakenya sishangai kuspend kiasi kikubwa cha bajeti kujiimarisha. Kufanya comparison itakuwa sio sawa
 
USA Germany na South Africa

Kenya has 306 tanks Tanzania has 75

Wacha Annael ajibambe tu!!

Nimechoka ku argue na fala

Kenyas annual military budget ni 2.21bn$.
Tanzania ni 347mn$

Kenya tuna american fighter jets hapa naona fala anaringa na za china sijui nianzie wapi ....wacha ajibambe
Nyang'au ur brain washed is such a way that you believe all american staffs are best....dont be such a dumb fool...
 
Nimeuliza tu wanunuaji, nashkuru umejinibu. Hayo mengine siko nayo. Nikiangalia changamoto za kiusalama mnaozikabili wakenya sishangau kuspend kiasi kikubwa cha bajeti kujiimarisha. Kufanya comparison itakuws sio sawa
Asante mkuu
 
Asante mkuu
Tanzania Bids for Russian Military Supplies 2016

Tanzania has approached Russia to supply the country's new weapons and military equipment, state-owned news agency RIA Novosti reported Wednesday.

The director of the Russian Military – Technical Cooperation Service (FSVTS) announced that the east African country was interested in purchasing the entire Mi-17 series of helicopters. They also expressed interest in Russian fighter jets, small arms and armored vehicles.“They [Tanzania] have looked into every supplier and chose Russia,” a FSVTS spokesperson said.

Russia said they were prepared to make a counteroffer to Tanzania's bid, which would include increased goods exports as well as provision of both commercial and state loans, RIA Novosti reported.

Russian delegates in Tanzania have scheduled a meeting to discuss the proposal with the head of the Tanzanian Arms Ministry.

A Tanzanian spokesperson said that the country had carried out a large amount of research into suppliers on the global weapons market. They confirmed that Tanzania sent Russia a bid to procure a wide range of military equipment including planes, tanks, small arms, and anti aircraft defense systems, RIA Novosti reported.

Tanzania Bids for Russian Military Supplies
 
Back
Top Bottom