Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
- Thread starter
- #101
Unapoweka picha ya vitu ambavyo hamkonavyo unamaanisha nini wewe leta hapa ndege zenu. Nyie mpo na F-5 sisi tupo na Chengdu F-7. Nyie mko marekani sisi tupo Russia na China. Leta hizo zenu mpya kabisa tushindanishe na gharama yenu hiyo,
Laikipia airbase
Sina wakati na wewe na hlo cheng'du lenu