Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

Sindano na CCTV Zina siri gani kwa Timu ya Yanga

Blender

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
4,870
Reaction score
8,035
Wana JF members Kuna siri gani inayofichwa mpaka kocha Gamond kufukuzwa kihuni na wahuni wa mjini.

1 .Je issues ni kuruhusu wachezaji kufanya mambo ya kijinga mpaka kulishwa visivyolishwa.

2. Je wachezaji wa club ya Yanga wanatumia dawa za kututumua misuli waingipo uwanjan.
Ushahidi wanao Azam wameushikilia ,

3. Je issue ni Zile supu wanazo bugia , zimebainika ni vibudu hivyo zimewaletea utapia mloo.

4. Timu na uongozi wa Yanga wanaonekana kwenye CCTV clips wakimwaga ungaunga kwenye uwanja wa Azam complex, Yan wanafanya ushirikina, ulozi

Yan Azam Sasa ivi ni niguse ninuke,

Yan iko ivi siri za Yanga na michezo michafu wanazofanyaga, Azam wamezipata zote na wana evidence itakayodumu to infinite .

Yan huko Yanga Kuna hofu kuu na sintofahamu. GENTAMYCINE

Yanga kuwa bingwa msimu huu ndio basi Tena,

Kwako msomaji una maoni gani, na kipi una shauri, kujua, comments
 
Mimi na washauli yanga tabia mbovu kama hizo waache watengeze team njia za ujanja ujanja hazifai ila nadhani tatizo liko kwa viongozi inaonekana ni wazee wa njia zamikato mikato sana
 
Back
Top Bottom