Sindano ya Testosterone

Sindano ya Testosterone

kwe2tu

Senior Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
128
Reaction score
210
Naomba madaktari na wale wenye uelewa mzuri wa sindano hii ya kuongeza homoni ya testosterone wanisaidie.
1. Hivi mtu anaweza kutumia sindano hiyo ya testosterone kwa miaka ht kumi???
2. Je kuna watu ambao wametumia sindano hiyo ya testosterone kwa muda mrefu na ikawasaidia???
3. Je sindano na gel ya kupaka bora nini.
4. Zile testosterone replacement therapy zone zinapatikana tanzania???

Nb: haya ni matatizo naomba tusaidiane. Kwani km hayakuhusu wew Leo lbd yatakuhusu kesho au kuna ndugu yako anayo tunapopata wa kutusaidia tunapata maarifa zaidi

Mwisho: je kuna dawa mbadala inayoondoa tatizo
Km kuna mtu anatumia sindano hiyo ya testosterone naomba anicheki WhatsApp anisaidie vizuri 0764556760

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Zakali inasimama vizuri nikushauri mbadala wa hayo masindano?
 
Sidhani kama kuna daktari utamuuliza maelekezo au faida ya dawa bila kujua wewe una shida gani au kitu gani kinakusibu mpaka uhitaji hizo sindano za kuongeza level za testesterone mwilini.

Japokua kwa maelezo yako mafupi naamini ina uhusiano na upungufu za nguvu za kiume au "uanamme" mfano sauti, body posture na tabia etc.

Madaktari watakuja kukupa miongozo
 
Chemsha kula supu ya ashua( pumbu ) za n'gombe zinapandisha homoni za kiume kwa kiwango cha juu sana .Fanya hivyo kwa mwezi mmoja zitabalance tu na Utakaa sawa..
 
Back
Top Bottom