- Thread starter
- #21
Nipe mawasiliano mkuuKunamajani Fulani hivi nitafute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe mawasiliano mkuuKunamajani Fulani hivi nitafute
Sio Zakali....Dhakari.....Zakali inasimama vizuri nikushauri mbadala wa hayo masindano?
Njia za asili za kuongeza hiyo hormone.Naomba madaktari na wale wenye uelewa mzuri wa sindano hii ya kuongeza homoni ya testosterone wanisaidie.
1. Hivi mtu anaweza kutumia sindano hiyo ya testosterone kwa miaka ht kumi???
2. Je kuna watu ambao wametumia sindano hiyo ya testosterone kwa muda mrefu na ikawasaidia???
3. Je sindano na gel ya kupaka bora nini.
4. Zile testosterone replacement therapy zone zinapatikana tanzania???
Nb: haya ni matatizo naomba tusaidiane. Kwani km hayakuhusu wew Leo lbd yatakuhusu kesho au kuna ndugu yako anayo tunapopata wa kutusaidia tunapata maarifa zaidi
Mwisho: je kuna dawa mbadala inayoondoa tatizo
Km kuna mtu anatumia sindano hiyo ya testosterone naomba anicheki WhatsApp anisaidie vizuri 0764556760
Natanguliza shukrani zangu za dhati
NainguajeNjia za asili za kuongeza hiyo hormone.
Kwanza kabisa, unatakiwa kujua kuhusu Ishu za epigenetic, uzalishaj wa hormones ( ni protein in nature) ina endana sambamba sana na afya ya signal zinazoenda ktk Crebe gene. Kupelekea uzalishaji bora au hafifu wa proteins na hormone . Miongon mwa hizo signals zinazoingia ktk Dna yako kuamuru zoez hili ( Msome Dr. Caroline kitabu cha Switch on Your brain). Ktk hili fikra zako zinaweza tawala zoez zima la kuzalishwa chochote. Naweza kukuongoza ktk hili
2. Lishe. Ya vitu vyenye zinc na chuma. Matumiz ya Vitu kama mbegu za maboga, itakusaidia sana.
3. Maji baridi na mazoez. Tafita zinathibitisha. Kuogea maji baridi inaongea sana uzalishaji wa hormone ya kiume, na aggression, utaona athletes wana tumia sana barafuu kujipozea mwili. Weight lifting pia ina kitu cha pekee.
Athari za kuongeza hiyo hormone kwa njia zisizo athiri, itafanya mwili uache au upunguze kuizalisha na kutegemea matokeo ya nje.
Karibu PM [emoji3576] kwa maulizo na msaada zaidi
Nafanyaje ili niingie pm mkuu nisaidieNjia za asili za kuongeza hiyo hormone.

Asante mkuuNjia za asili za kuongeza hiyo hormone.

Angalia message zako, rudi ktk profile yako tazama kitufe cha sms utaona nimekusalimu.Nainguaje
Nafanyaje ili niingie pm mkuu nisaidie
Vip ungekuwa ni wew ukajibiwa hivyo. Hapa tunatafuta elimu kumbuka testosterone sio ngono tu. Inakazi nyingi.
Kwa shidaZakali inasimama vizuri nikushauri mbadala wa hayo masindano?
Maji baridi sio kwamba yanaongeza mzunguko wa damu Ili kumaintain joto la mwiliNjia za asili za kuongeza hiyo hormone.
Kwanza kabisa, unatakiwa kujua kuhusu Ishu za epigenetic, uzalishaj wa hormones ( ni protein in nature) ina endana sambamba sana na afya ya signal zinazoenda ktk Crebe gene. Kupelekea uzalishaji bora au hafifu wa proteins na hormone . Miongon mwa hizo signals zinazoingia ktk Dna yako kuamuru zoez hili ( Msome Dr. Caroline kitabu cha Switch on Your brain). Ktk hili fikra zako zinaweza tawala zoez zima la kuzalishwa chochote. Naweza kukuongoza ktk hili
2. Lishe. Ya vitu vyenye zinc na chuma. Matumiz ya Vitu kama mbegu za maboga, itakusaidia sana.
3. Maji baridi na mazoez. Tafita zinathibitisha. Kuogea maji baridi inaongea sana uzalishaji wa hormone ya kiume, na aggression, utaona athletes wana tumia sana barafuu kujipozea mwili. Weight lifting pia ina kitu cha pekee.
Athari za kuongeza hiyo hormone kwa njia zisizo athiri, itafanya mwili uache au upunguze kuizalisha na kutegemea matokeo ya nje.
Karibu PM [emoji3576] kwa maulizo na msaada zaidi
Mungu akufanyie wepesiAsante mkuu kwa ushauri
Mkuu naomba nikuite mshauri mzuri asante sana. Hii itawasaidia ht wengine piaMkuu ungefunguka vizuri watu wangekusaidia vizuri zaid Kwa kujua chanzo cha matumizi ya hizi sindano but sio shida unapo endelea kutumia sindano fanya Mambo yafutayo ku boost your testosterone levels hii ni muhimu zaidi Kwa sababu ina Link na life style yako kwa ujumla
1) mazoezi
Hakikisha unapata masaa 2 ya kutoka jasho kisawasawa angalau siku 5 katika wiki hii itakusaidia kuongeza kujiamini katika Mambo mengi wakati mwingine tunasumbuliwa na imagination kichwani hata pale ambapo hapana hualisia so join gym yoyote iliyo karibu na ww kamua mafuta yoote brother
2) msosi
Rudi kwenye vyakula harisi usitumie bidhaa. Maana yake Kula vyakula harisi viazi vitamu,nyama,mayai mboga za majani na matunda zaidi (alkaline foods)kwenye time table Yako ya msosi weka vyakula vya protein na vitamin Kwa wingi epuka vyakula vya wanga maana vikirundikana mwilini ini huibadilisha wanga kua glycogen ambayo ikitolewa inatoka kama mafuta sio nzuri kwako epuka
3) achana kabisa na soda, energy drink na bia na matumizi ya sigara
Hivi vinywaji vina sukari nyingi ya viwandani sukari ambayo inaweza kuunga ndoo ya maji ya lita kumi ikawa tamu ndio hiyo inapatikana kwenye hizi bidhaa Kaa nazo mbali ili kuepuka ku develop diabetes
4) dhibidi kiwango cha stress
Unapopatwa na shida yoyote inayo weza kuathili nguvu zako za kiume wanaume wengi hupatwa na stress kitu ambacho huwa hatari zaidi kwenye process ya kupata tiba jitaidi saana kujifunza kuongea positive kichwani kwako hasa ukiwa peke Yako hii ita boost confidence ambayo umeanza kuipoteza
5) Lala na pata muda wa kupumzika wa kutosha
Hakikisha unapata usingizi quality maana unaweza kulala muda mrefu Lakini usipate usingizi wa kutosha .mchana pata walau nusu saa (nap time) Kisha endelea na kazi zako
Mwisho pata muda zaidi wa kujifunza zaidi kuhusu masculinity (change your mentality) hii itakusaidia kuongeza confidence kwa sababu kuna Vita inapiganwa kichwani jitaidi uvishinde trust the process unayopitia utakua imara Kama chuma
Mkuu sijui shida Yako ni Nini ila kama una uzito uliozidi jitahidi kupunguza na pata matunda (ndizi parachichi na tango angalau 3 kwa wiki)Asante mkuu kwa ushauri
Wanajidanganya sana ila in reality 45 bado anafurahia sana tendo na nguvu zipo nyingi tuUmri huo Bado sana.....na damu inachemka......labda uongeleee kwenye 65 huko ndio unaweza kuona dalili za uzee........nyie vijana nani anawaongopea.......
Relax bro hiyo changamoto Yako Haina uhusiano na umri tafuta tiba ishi kijanjaKweli mkuu tunakatishana tamaa tu
1. mazoez magumu [ hii inastimulate production of the hormone]Naomba madaktari na wale wenye uelewa mzuri wa sindano hii ya kuongeza homoni ya testosterone wanisaidie.
1. Hivi mtu anaweza kutumia sindano hiyo ya testosterone kwa miaka ht kumi???
2. Je kuna watu ambao wametumia sindano hiyo ya testosterone kwa muda mrefu na ikawasaidia???
3. Je sindano na gel ya kupaka bora nini.
4. Zile testosterone replacement therapy zone zinapatikana tanzania???
Nb: haya ni matatizo naomba tusaidiane. Kwani km hayakuhusu wew Leo lbd yatakuhusu kesho au kuna ndugu yako anayo tunapopata wa kutusaidia tunapata maarifa zaidi
Mwisho: je kuna dawa mbadala inayoondoa tatizo
Km kuna mtu anatumia sindano hiyo ya testosterone naomba anicheki WhatsApp anisaidie vizuri 0764556760
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Naomba madaktari na wale wenye uelewa mzuri wa sindano hii ya kuongeza homoni ya testosterone wanisaidie.