lovenessy joshua
Member
- Jan 6, 2018
- 29
- 5
Mimba nishapima Mara tatu SinaYawezekana una mimba shosti
Ila Huu uzazi wa mpango Huu Mh, unatabia ya kumaliza hamu ya tendo la ndoa
Nina marafiki km wanne dah kila siku malalamiko hawana hamu ya kutoa Huduma kwa waume zao
Pole sana
Adi sasa hauna mtoto kwani maan naogopa sanaHzo sindani zmenikosesha mtoto kwa X wangu hadi kuvulugana
Ujasema shindano ya nn mama!Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
Madaktari wanasema kuna homoni ziko juu kwaio kuna dawa natakiwa nimeze kuzishushaNi vema ukahudhuria hospital ukapewe ushauri wa kitabibu
Tafuta mtu akufikishe kileleni na bleed itaanza papohapo..Mimba nishapima Mara tatu Sina
Sinalabda una pregnancy?
Hatar sana!Pole ila wengi wakishachomwa hukaa hata miezi 6 mpka mwaka kwakuwa manesi hawasemi ukweli wa madhara makubwa ya dawa hizo
Wanakuja wataalamu sweetheart pole tenaMimba nishapima Mara tatu Sina
Na akizaa kila mwaka utaendelea kumpenda hivyohivyo!!?Nimeshasikia wengi mkilalamika haya madawa lakin nashangaa hamuachi tu!! wengine wananenepa wengine hawana hamu yaani ni vurugu tupu!!
NB: Nikipata mke sheria yangu namba moja NI MWIKO KUTUMIA HAYO MADAWA KWA AJILI YA UZAZI WA MPANGO, lasivyo unaenda kwenu!
Sky Eclat njoo msaidie mwenzako huku!!
Kwani hamna njia nyingine mpaka zitumike hizo dawa au sindano? yani unakuta mtu amenenepeana kama kifutu kisa hiyo midawa... alafu ana mihasira hasira na kununa nuna bila sababu!!!Na akizaa kila mwaka utaendelea kumpenda hivyohivyo!!?
Acha uongo mkuu hata wangu alisema hivyo na kwa utoto ule nikaitikia mimba ya tatu Ndio nilijua kweli mkoje nyie sangara midindisho, putuuuuu