Sindano ya uzazi wa mpango imeisha muda wake toka Novemba ila sijapata hedhi mpaka sasa

Sindano ya uzazi wa mpango imeisha muda wake toka Novemba ila sijapata hedhi mpaka sasa

Joined
Jan 6, 2018
Posts
29
Reaction score
5
Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
 
Ngoja waje wataalamu, mimi sina cha kuchangia hapa, au ungeiweka hii post kule JF Doctor
 
Pole ila wengi wakishachomwa hukaa hata miezi 6 mpka mwaka kwakuwa manesi hawasemi ukweli wa madhara makubwa ya dawa hizo
 
Sizani kama hili ni jukwaa sahihi la hiyo ishu yk.. Anyway ingekua vema ukamwona doctor kwa ushauri na matibabu zaidi
 
Yawezekana una mimba shosti

Ila Huu uzazi wa mpango Huu Mh, unatabia ya kumaliza hamu ya tendo la ndoa

Nina marafiki km wanne dah kila siku malalamiko hawana hamu ya kutoa Huduma kwa waume zao

Pole sana
 
Nimeshasikia wengi mkilalamika haya madawa lakin nashangaa hamuachi tu!! wengine wananenepa wengine hawana hamu yaani ni vurugu tupu!!

NB: Nikipata mke sheria yangu namba moja NI MWIKO KUTUMIA HAYO MADAWA KWA AJILI YA UZAZI WA MPANGO, lasivyo unaenda kwenu!

Sky Eclat njoo msaidie mwenzako huku!!
 
Yawezekana una mimba shosti

Ila Huu uzazi wa mpango Huu Mh, unatabia ya kumaliza hamu ya tendo la ndoa

Nina marafiki km wanne dah kila siku malalamiko hawana hamu ya kutoa Huduma kwa waume zao

Pole sana
Mimba nishapima Mara tatu Sina
 
Nimeshasikia wengi mkilalamika haya madawa lakin nashangaa hamuachi tu!! wengine wananenepa wengine hawana hamu yaani ni vurugu tupu!!

NB: Nikipata mke sheria yangu namba moja NI MWIKO KUTUMIA HAYO MADAWA KWA AJILI YA UZAZI WA MPANGO, lasivyo unaenda kwenu!

Sky Eclat njoo msaidie mwenzako huku!!
Na akizaa kila mwaka utaendelea kumpenda hivyohivyo!!?

Acha uongo mkuu hata wangu alisema hivyo na kwa utoto ule nikaitikia mimba ya tatu Ndio nilijua kweli mkoje nyie sangara midindisho, putuuuuu
 
Na akizaa kila mwaka utaendelea kumpenda hivyohivyo!!?

Acha uongo mkuu hata wangu alisema hivyo na kwa utoto ule nikaitikia mimba ya tatu Ndio nilijua kweli mkoje nyie sangara midindisho, putuuuuu
Kwani hamna njia nyingine mpaka zitumike hizo dawa au sindano? yani unakuta mtu amenenepeana kama kifutu kisa hiyo midawa... alafu ana mihasira hasira na kununa nuna bila sababu!!!

NASEMA HIVII KWANGU HIZO DAWA NI MWIKO!
 
Back
Top Bottom