Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Kwanza uwasilishaji wa Hoja umekosea na Jukwaa ulilotumia pia Umekosea.. ungeweka kwenye Jukwa la Doctor....Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
Ndyo sins dadaAdi sasa hauna mtoto kwani maan naogopa sana
Bora anenepe k iliwe sasaKwani hamna njia nyingine mpaka zitumike hizo dawa au sindano? yani unakuta mtu amenenepeana kama kifutu kisa hiyo midawa... alafu ana mihasira hasira na kununa nuna bila sababu!!!
NASEMA HIVII KWANGU HIZO DAWA NI MWIKO!
Walikausha kila kitu pole,Hujawahi sikia ni hatari?Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
Haya ndio matatizo nnayokwambia na ndio siyataki!! nitatumia njia nyingine ambazo ni safe ila sio haya madawa, vidonge mara vijiti big NO!!Bora anenepe k iliwe sasa
K inakauka na anapoteza msisimko na nyege zooote unakuta mtu anakwambia anampa tam mumewe Mara moja kwa mwezi[emoji134] [emoji134] hatari sana lkn ndo hivyo kuzaa kila mwaka nayo Mh ni mbaya sijui tufanyeje hata
Naomba umri wako,makazi yako ya kudumu, ulivyo kiumbo na namba ya simu pm kwa msaada zaidi! hili tatizo kitaalam tunaita psycnromea nyegephomia!Mimba nishapima Mara tatu Sina
kuwa na subira mwili unaendelea kujijenga .Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
Cjui kwa nini hawajakujibu vizuri! Hawajui au sababu ni jukwaa ulilovamia. Kwa ufupi ni hormonal imbalance. Muone dakitari au kwa kifupi tu tumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa mda wa mwezi mmoja. Hali yako itarudi kawaida. Shukuru Mungu kwa kupata tatizo dogo wengine huteseka sana hadi mishipa ya fahamu. Madakitari hawasemi ukweli ila hakuna njia mbaya tena mbaya kama kutumia sindano.Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
hahahaaTafuta mtu akufikishe kileleni na bleed itaanza papohapo..
hahaaa SANGARA Tena daahhhNa akizaa kila mwaka utaendelea kumpenda hivyohivyo!!?
Acha uongo mkuu hata wangu alisema hivyo na kwa utoto ule nikaitikia mimba ya tatu Ndio nilijua kweli mkoje nyie sangara midindisho, putuuuuu
Ili ikigegedwa peku peku asipate mimba... Family planningduuuuuuuuuuuuuuuh! Kisa cha kuchoma?😱
Usitumie uzazi wa mpango utachukiza mke wangu na mimi Ndio hehehehe kilichofuata sasa!!!hahaaa SANGARA Tena daahhh
mkuu
kesho utatuita SATO
Usitumie uzazi wa mpango utachukiza mke wangu na mimi Ndio hehehehe kilichofuata sasa!!!
Sangara tu nyie
binafsi mwanamke anaetumia hayo Madude akiwa bado hajaolewa...namuona kama malayaduuuuuuuuuuuuuuuh! Kisa cha kuchoma?😱