Sindikiza Message yako na picha ya mtoto mkale/handsome boy

Sindikiza Message yako na picha ya mtoto mkale/handsome boy

Jamani nani ana shilingi mia hapa nikwangue hii vocha ya tigo[emoji39]View attachment 871280
Mkuu mkuu hiyo kitu ni hatari kwa Afya.

IMG_20180919_170152_597.jpeg
 
Haka ni kamchezo flani hivi Amaizing tuanze kukacheza yaani kwa wanaume unaandika Reply yako huku unaisindikiza na picha ya mtoto mkale,

Na pia kwa kina dada nyie mnasindikiza na picha ya handsome mmoja matata.


Mfano.

Mambo vipi Mzigua90



View attachment 871169
Taja na utaifa wake ama mji anakopatikana, siyo kutulelea mapichapicha mnayonukuu mitandaoni hatuyataki.

Kwa mfano huyu mtoto ni mkali kishenzi sawa, lakini haujatanabahisha anaishi wapi ili hata msololeaji awe na uwezo wa kuhangaika kutupa ndoano zake.
 
Back
Top Bottom