TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
📍Kisongo - Arusha.
Jamaa ana kaulu yake flani hivi anakwambia faidi vinono vya duniani kwanza kabla hujaiona mbingu.
Hapo kwenye kipande cha sinema kuna mabinti itakuwa warembo hao, wanapita mbele ya kadamnasi wakinesa kama kwenye majukwaa ya mamiss.
Yule mwamba kakaa mbele mwenyewe anapita binti mmoja baada ya mwingine karibu yake nk, hilo tukio alikuwa anawafundisha nini hao wanaokwenda kwa hema lake au sisi tunaopanga kwenda hapo?.