Si amekwambia mwenyewe maisha ni haya na uyafaidi (ingawa inategemea maana ya neno faidi na kufaidi ni subjective) binafsi ninaungana na kauli yake na hio ndio motto yangu
To each his/her own...
So long as ufaidikaji wako haumuumizi jirani yako (quid pro qou) mfano kama na hao mabinti nao wanafaidi ni jambo jema sana kila mtu akifaidi atakuwa na furaha hence jamii yenye furaha na iliyolidhika....
Hayo mengine ya sijui mbingu, moto n.k. ni wewe au mtu binafsi na imani yake (so long as haushinikizwi kwenda) au kama wewe kushinikiza watu wasiende hapa bali waende kule..., nadhani all is Kosher....