I nategemea ni roho ganiUnaona hamna ubaya katika issue za kiroho na hizi mambo?.
Yaani uache watoto kama uwoya kabisa! Refer kesi ya gwajiboy! Mkewe ni wa enzi hawana kituAnawatafuna! Hakuna mwanaume awe na say milioni mia mbili zipo benki aache watoto wamenona ale na mke wake aliyenyata!
Akili kubwa husimamia akili zilizo mfu/ndogo📍Kisongo - Arusha.
Jamaa ana kaulu yake flani hivi anakwambia faidi vinono vya duniani kwanza kabla hujaiona mbingu.
View attachment 2680944
Hapo kwenye kipande cha sinema kuna mabinti itakuwa warembo hao, wanapita mbele ya kadamnasi wakinesa kama kwenye majukwaa ya mamiss.
Yule mwamba kakaa mbele mwenyewe anapita binti mmoja baada ya mwingine karibu yake nk, hilo tukio alikuwa anawafundisha nini hao wanaokwenda kwa hema lake au sisi tunaopanga kwenda hapo?.
📍Kisongo - Arusha.

Yeye na mtoto wakeHuyo jamaa ni muhuni wa kawaida
Nabii wa uongo at work [emoji706][emoji706][emoji706][emoji41]
Watu wana macho lakini hawaoni📍Kisongo - Arusha.
Jamaa ana kaulu yake flani hivi anakwambia faidi vinono vya duniani kwanza kabla hujaiona mbingu.
View attachment 2680944
Hapo kwenye kipande cha sinema kuna mabinti itakuwa warembo hao, wanapita mbele ya kadamnasi wakinesa kama kwenye majukwaa ya mamiss.
Yule mwamba kakaa mbele mwenyewe anapita binti mmoja baada ya mwingine karibu yake nk, hilo tukio alikuwa anawafundisha nini hao wanaokwenda kwa hema lake au sisi tunaopanga kwenda hapo?.
Ila kanisani kwake kwanza huo uvaaji acha kabisa, inahitajika Sala kubwa sana ikiwa Hemani kwakeSi amekwambia mwenyewe maisha ni haya na uyafaidi (ingawa inategemea maana ya neno faidi na kufaidi ni subjective) binafsi ninaungana na kauli yake na hio ndio motto yangu
To each his/her own...
So long as ufaidikaji wako haumuumizi jirani yako (quid pro qou) mfano kama na hao mabinti nao wanafaidi ni jambo jema sana kila mtu akifaidi atakuwa na furaha hence jamii yenye furaha na iliyolidhika....
Hayo mengine ya sijui mbingu, moto n.k. ni wewe au mtu binafsi na imani yake (so long as haushinikizwi kwenda) au kama wewe kushinikiza watu wasiende hapa bali waende kule..., nadhani all is Kosher....
Kwanini sala ? Huenda ibada ni kupeana good time; kwa imani yako kama mavazi hayafai na unaamini katika hizi dini kubwa mbili basi Mungu angeumba mavazi kabla ya binadamu (au kina adam na eva, hawa au hata masanja na siwema - vyovyote utakavyowaita) walikuwa wamevaa mavazi gani ?Ila kanisani kwake kwanza huo uvaaji acha kabisa, inahitajika Sala kubwa sana ikiwa Hemani kwake