PreGE2025 Sinema ya CHAUMMA na G55 ndio inaisha au tusubiri nyingine?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nyapara wa Motoni

New Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
2
Reaction score
6
Walianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya Ziwa mnamo Mei 30. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei 30, 2025 kabla ya kuendelea katika mikoa yote nchini kwa siku 16 mfululizo huku kikitumia usafiri wa chopa itakayotumiwa na viongozi waandamizi wa chama hicho.

Hayawi hayawi sasa tarehe 30 Mei imefika wka ajili ya uzinduzi wa “oparesheni” na badala ya kuelezwa inazinduliwaje, tunaanza kupewa sinema za uahirishaji toka kwa Bw Kigailla. Kwa bahati mbaya sababu za kilevi kabisa ndizo zinazotumika, eti hawajapata haki/kibali cha kurusha chopa na uwanja wa kufanyia mkutano. Mambo ya ajabu kabisa.

Kwani walipotanagza kuanza oparareshni kwa kutumia chopa hawakujua watahitaji kibali cha mamlaka kuirusha hiyo chopa? Hawakujua wangehitaji uwanja wa kufanyia hiyo mikutano yao? Iweje sasa utanagze wakati vitu vya msingi kabisa havijafanyika. Ni wkeli kuwa Kigailla na timu yake hawakuwa na uzoefu wa kutosha kuratibisha mambo haya? Zimekuwako tetesi za kusubiriwa kwa Kigogo mmoja kutoka upinzani ambaye ndio hasa angetumika kuinadi CHAUMMA kwa watu lakini kigogo huyo kwa sababu mbalimbali hajafika huko hadi leo. Vyovyote iwavyo, kinachoonekana hapa ni mwanzo wa mwisho wa “Sinema ya CHAUMMA/G55”
 
Mimi chama kikisema ni cha kijamaa sipuuzi najua kampeni zake zitaelimisha wananchi kupinga unyonyaji na kuwepo usawa. wajamaa tutaweza kulinganisha porojo za ccm na matendo kama tunaelekea wapi.
 
Walianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya Ziwa mnamo Mei 30. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei 30, 2025 kabla ya kuendelea katika mikoa yote nchini kwa siku 16 mfululizo huku kikitumia usafiri wa chopa itakayotumiwa na viongozi waandamizi wa chama hicho.

Hayawi hayawi sasa tarehe 30 Mei imefika wka ajili ya uzinduzi wa “oparesheni” na badala ya kuelezwa inazinduliwaje, tunaanza kupewa sinema za uahirishaji toka kwa Bw Kigailla. Kwa bahati mbaya sababu za kilevi kabisa ndizo zinazotumika, eti hawajapata haki/kibali cha kurusha chopa na uwanja wa kufanyia mkutano. Mambo ya ajabu kabisa.

Kwani walipotanagza kuanza oparareshni kwa kutumia chopa hawakujua watahitaji kibali cha mamlaka kuirusha hiyo chopa? Hawakujua wangehitaji uwanja wa kufanyia hiyo mikutano yao? Iweje sasa utanagze wakati vitu vya msingi kabisa havijafanyika. Ni wkeli kuwa Kigailla na timu yake hawakuwa na uzoefu wa kutosha kuratibisha mambo haya? Zimekuwako tetesi za kusubiriwa kwa Kigogo mmoja kutoka upinzani ambaye ndio hasa angetumika kuinadi CHAUMMA kwa watu lakini kigogo huyo kwa sababu mbalimbali hajafika huko hadi leo. Vyovyote iwavyo, kinachoonekana hapa ni mwanzo wa mwisho wa “Sinema ya CHAUMMA/G55”
C4C maanayake ni chauma for ccm
 
watakuwa wamekosea masharti ya mfadhili
 
Yaani chama cha kitapeli kinahidiwa kugeuzwa chama kikuu cha upizani na chama kingine cha majambazi. Yaani chambazi anafadhiri tapeli
 
Signatories wa kutoa mpunga wapo kwenye mkutano mkuu Idodomya. Subirini wamalize kikao
 
Siasa za namna hii ni za kupuuzwa, wananchi hawako tayari kupeleka vibe kwenye siasa za kishenzi
 
Lazima wawe na mtu mwenye ushawishi mbele, sidhani kama wao pekee wanaweza shawishi watu.
Wengi walienda kwasababu waliambiwa kuna mtu ana jina atawabeba, bado wanavuta makasia.
 
Back
Top Bottom