Nyapara wa Motoni
New Member
- Jan 13, 2011
- 2
- 6
Huwezi kujenga chama kwa kufanya uharakati uchwara na kuzuia uchaguziMbio za sakafuni hizo.
Huwezi kujenga chama cha upinzani kwa kufadhiliwa na chama tawala.
Watz wa sasa sio wale wa miaka ya 90
Mambo ya kitapeli huwa yana muda mfupi snWatanzania wa zama hizi wanajua kila kitu huwezi kuwadanganya kiasi hicho.
Mimi chama kikisema ni cha kijamaa sipuuzi najua kampeni zake zitaelimisha wananchi kupinga unyonyaji na kuwepo usawa. wajamaa tutaweza kulinganisha porojo za ccm na matendo kama tunaelekea wapi.Walianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya Ziwa mnamo Mei 30. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei 30, 2025 kabla ya kuendelea katika mikoa yote nchini kwa siku 16 mfululizo huku kikitumia usafiri wa chopa itakayotumiwa na viongozi waandamizi wa chama hicho.
Hayawi hayawi sasa tarehe 30 Mei imefika wka ajili ya uzinduzi wa “oparesheni” na badala ya kuelezwa inazinduliwaje, tunaanza kupewa sinema za uahirishaji toka kwa Bw Kigailla. Kwa bahati mbaya sababu za kilevi kabisa ndizo zinazotumika, eti hawajapata haki/kibali cha kurusha chopa na uwanja wa kufanyia mkutano. Mambo ya ajabu kabisa.
Kwani walipotanagza kuanza oparareshni kwa kutumia chopa hawakujua watahitaji kibali cha mamlaka kuirusha hiyo chopa? Hawakujua wangehitaji uwanja wa kufanyia hiyo mikutano yao? Iweje sasa utanagze wakati vitu vya msingi kabisa havijafanyika. Ni wkeli kuwa Kigailla na timu yake hawakuwa na uzoefu wa kutosha kuratibisha mambo haya? Zimekuwako tetesi za kusubiriwa kwa Kigogo mmoja kutoka upinzani ambaye ndio hasa angetumika kuinadi CHAUMMA kwa watu lakini kigogo huyo kwa sababu mbalimbali hajafika huko hadi leo. Vyovyote iwavyo, kinachoonekana hapa ni mwanzo wa mwisho wa “Sinema ya CHAUMMA/G55”
C4C maanayake ni chauma for ccmWalianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya Ziwa mnamo Mei 30. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei 30, 2025 kabla ya kuendelea katika mikoa yote nchini kwa siku 16 mfululizo huku kikitumia usafiri wa chopa itakayotumiwa na viongozi waandamizi wa chama hicho.
Hayawi hayawi sasa tarehe 30 Mei imefika wka ajili ya uzinduzi wa “oparesheni” na badala ya kuelezwa inazinduliwaje, tunaanza kupewa sinema za uahirishaji toka kwa Bw Kigailla. Kwa bahati mbaya sababu za kilevi kabisa ndizo zinazotumika, eti hawajapata haki/kibali cha kurusha chopa na uwanja wa kufanyia mkutano. Mambo ya ajabu kabisa.
Kwani walipotanagza kuanza oparareshni kwa kutumia chopa hawakujua watahitaji kibali cha mamlaka kuirusha hiyo chopa? Hawakujua wangehitaji uwanja wa kufanyia hiyo mikutano yao? Iweje sasa utanagze wakati vitu vya msingi kabisa havijafanyika. Ni wkeli kuwa Kigailla na timu yake hawakuwa na uzoefu wa kutosha kuratibisha mambo haya? Zimekuwako tetesi za kusubiriwa kwa Kigogo mmoja kutoka upinzani ambaye ndio hasa angetumika kuinadi CHAUMMA kwa watu lakini kigogo huyo kwa sababu mbalimbali hajafika huko hadi leo. Vyovyote iwavyo, kinachoonekana hapa ni mwanzo wa mwisho wa “Sinema ya CHAUMMA/G55”
watakuwa wamekosea masharti ya mfadhiliWalianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya Ziwa mnamo Mei 30. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei 30, 2025 kabla ya kuendelea katika mikoa yote nchini kwa siku 16 mfululizo huku kikitumia usafiri wa chopa itakayotumiwa na viongozi waandamizi wa chama hicho.
Hayawi hayawi sasa tarehe 30 Mei imefika wka ajili ya uzinduzi wa “oparesheni” na badala ya kuelezwa inazinduliwaje, tunaanza kupewa sinema za uahirishaji toka kwa Bw Kigailla. Kwa bahati mbaya sababu za kilevi kabisa ndizo zinazotumika, eti hawajapata haki/kibali cha kurusha chopa na uwanja wa kufanyia mkutano. Mambo ya ajabu kabisa.
Kwani walipotanagza kuanza oparareshni kwa kutumia chopa hawakujua watahitaji kibali cha mamlaka kuirusha hiyo chopa? Hawakujua wangehitaji uwanja wa kufanyia hiyo mikutano yao? Iweje sasa utanagze wakati vitu vya msingi kabisa havijafanyika. Ni wkeli kuwa Kigailla na timu yake hawakuwa na uzoefu wa kutosha kuratibisha mambo haya? Zimekuwako tetesi za kusubiriwa kwa Kigogo mmoja kutoka upinzani ambaye ndio hasa angetumika kuinadi CHAUMMA kwa watu lakini kigogo huyo kwa sababu mbalimbali hajafika huko hadi leo. Vyovyote iwavyo, kinachoonekana hapa ni mwanzo wa mwisho wa “Sinema ya CHAUMMA/G55”
Yaani chama cha kitapeli kinahidiwa kugeuzwa chama kikuu cha upizani na chama kingine cha majambazi. Yaani chambazi anafadhiri tapeliWalianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya Ziwa mnamo Mei 30. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei 30, 2025 kabla ya kuendelea katika mikoa yote nchini kwa siku 16 mfululizo huku kikitumia usafiri wa chopa itakayotumiwa na viongozi waandamizi wa chama hicho.