PreGE2025 Sinema ya CHAUMMA na G55 ndio inaisha au tusubiri nyingine?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanahudhuria mkutano wa CCM kwanza ili wapate uzoefu zaidi.
 
Kigaila na huyo mke wa mtu aliyempora mchaga wa watu ndiyo waendeshe chauma si vituko hivi
 
Kwa hiyo bila Chopa hamna Operation wanaogopa hawa ni wanasiasa wa Mitandaoni kwa Ground hawezi kupata watu ndo maana wanalilia Chopa waende wale wa kushangaa Chopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…