Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Diamond mchokozi sana aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anavyomzingua Mobeto yani full burudani
 
Nimemuona jamaa anatoa magaga ya mafua puani live[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Muonekano wake sijaupenda kwa kweli , hayupo nadhifu kabisa madevu hovyo hovyo, manywele hachani ,nguo mbaya ,yani kero tupu
Huo ndo muonekani wa mwanadamu haya mengine ya utanashati ni makuzi tu tumekutana nayo shule vinginevyo nywele zetu zilitakiwa ziwe zimejisokota
 
Huyo Juliana Shonza anavyomuangalia kwa jicho la mahaba Diamond na alipopewa mkono ndio kabisa jicho nyanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…