Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Kununa tu na machozi juu[emoji23][emoji23][emoji23]Umemuona Wemaa kanunaaaa!!!
kabisa yaniMnooo
Anampenda sana DiamondIla wema ana wivu uso umejichora adi huruma
Huo ndo muonekani wa mwanadamu haya mengine ya utanashati ni makuzi tu tumekutana nayo shule vinginevyo nywele zetu zilitakiwa ziwe zimejisokotaMuonekano wake sijaupenda kwa kweli , hayupo nadhifu kabisa madevu hovyo hovyo, manywele hachani ,nguo mbaya ,yani kero tupu
😀😀😀😀😀😀😀Huyo Juliana Shonza anavyomuangalia kwa jicho la mahaba Diamond na alipopewa mkono ndio kabisa jicho nyanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]