Dr Guitar tz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 312
- 247
Mtu wa WatuNamuona kikwete yulewww
Kusahauliana sio fastaa kiasi hikoo
[emoji23] [emoji3] [emoji23] [emoji3] [emoji23]Sina TV ila kwa mujibu wa maelezo yenu hakika Wema ana Mzigo aiseee dah.
Jinsi mlivyoelezea naungana na nyie katika hili.
Daaaah mwanangu Iceman kitambo sana kakaOya braza nambie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee mtu wa watu sio huyu fala tulienae
Hivi kwann hela ya kumleta huyo Prety wangeiwekeza kwny kuongeza posho za washindi wa tuzoHapana Preetika Rao (anaigiza tamthilia za kihindi)mdogo wake na Amrita Rao
Prety Zinta si mchezo kumleta!!!angekuja hata mi ningeua mtaji wa askirimu
Me nilijua labda ni mke wa mmoja wa vigogo, hadi alipoenda kutoa tuzo ndio nikamtambua...!Namuona Julian Shonza km hahaaaaa!!
Kuvaa km sio Waziri
Nami ndio nilishangaa na kuziona hizi tuzo hazina maana.!Huu ujinga kwa kweli ,tangu lini Wema akamzidi Riyama kwenye kuuvaa uhusika?
Hahaaaaaaa,,,,hapo mke yuko hapo Mume yuko club knyama and vice versa,,,Sasa hao wasanii na wote waliohudhuria hilo tamasha wakirudi kwao usiku hawataulizwa walikuwa wapi na Wake/Waume zao?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila kahamisa kalipendezaaa haswaa na white yake na walimechisha!!!
Mkuu ukiambiwa tuzo za Grammy hulambi hata mia si utazimia kabisa?!Hivi kwann hela ya kumleta huyo Prety wangeiwekeza kwny kuongeza posho za washindi wa tuzo
Nimeziona clips U tube...
I can conclude by saying....
Wema got badly badly hurt..
Pole nyingi kwake.