Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Uzi unafurahisha kuliko movie zenyewe, ila naona kuna uhaba wa picha picha au kamera hazikuruhusiwa?
 
Morn
IMG_20180401_230949.jpg
IMG_20180401_223501.jpg
 
Hapana Preetika Rao (anaigiza tamthilia za kihindi)mdogo wake na Amrita Rao
Prety Zinta si mchezo kumleta!!!angekuja hata mi ningeua mtaji wa askirimu
Hivi kwann hela ya kumleta huyo Prety wangeiwekeza kwny kuongeza posho za washindi wa tuzo
 
Mrisho Mpoto naye jana na mavazi yake.....duh.!
 
Nimeziona clips U tube...

I can conclude by saying....
Wema got badly badly hurt..

Pole nyingi kwake.
 
Nimeziona clips U tube...

I can conclude by saying....
Wema got badly badly hurt..

Pole nyingi kwake.

Bora aachane tu na diamond hata kama anampenda saana ifike mahala inabid akubali hali halisi ...... yaani kuna mda hamisa alikuwa anaulizwa jina lake na mtangazaji unaona kabisa diamond face was like wooow
 
Back
Top Bottom