Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Kea hiyo ndo wanajigamba kuwa tuzo za kipekee ...hizo gharama si wawaongezee washindi hata balimi 4

Naofia tension kubwa itakuwa kwa huyo bi mdada kuliko umuhimu wa event
Kwanza jukwaa lenyewe hovyoo wabongo bwana kupamba majukwaa ya events kubwa kubwa ni sifuri
 
Reactions: Lee
Mbona hamna ushirikiano!!!! Wekeni picha tuone
 
Reactions: Lee
Kwanza jukwaa lenyewe hovyoo wabongo bwana kupamba majukwaa ya events kubwa kubwa ni sifuri
Bajetiii ndogo pesa imetumika kumleta msanii wetu wa india
 
Hapana Preetika Rao (anaigiza tamthilia za kihindi)mdogo wake na Amrita Rao
Prety Zinta si mchezo kumleta!!!angekuja hata mi ningeua mtaji wa askirimu
Kweli au kachukuliwa magorofanii kariakoo make bongo kila kitu kinawezekana ...

Si ndo huyu aliyekaa karibu na manara Haji au ?? Naona kama kiswahili anakielewa
 
Umeme umekatika huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tamasha la hovyo sana
 
Nimemsikiliza Juliana Shoza Naibu waziri wa habari, aisee she is not presentable kbs, hajui hata kutofautisha L na R yaani yupoyupo tu pale jukwaani bora hata mama ntilie angeweza kutamka maneno vzr! Shame!
 
He!umeme umekatika ukumbini Bongo fitna
 
Kweli au kachukuliwa magorofanii kariakoo make bongo kila kitu kinawezekana ...

Si ndo huyu aliyekaa karibu na manara Haji au ?? Naona kama kiswahili anakielewa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli bwana sio wa Kkoo yuko na yuko mhindi mwenziwe na may be anajua kiswahili
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…