Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Kea hiyo ndo wanajigamba kuwa tuzo za kipekee ...hizo gharama si wawaongezee washindi hata balimi 4

Naofia tension kubwa itakuwa kwa huyo bi mdada kuliko umuhimu wa event
Kwanza jukwaa lenyewe hovyoo wabongo bwana kupamba majukwaa ya events kubwa kubwa ni sifuri
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mbona hamna ushirikiano!!!! Wekeni picha tuone
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hapana Preetika Rao (anaigiza tamthilia za kihindi)mdogo wake na Amrita Rao
Prety Zinta si mchezo kumleta!!!angekuja hata mi ningeua mtaji wa askirimu
Kweli au kachukuliwa magorofanii kariakoo make bongo kila kitu kinawezekana ...

Si ndo huyu aliyekaa karibu na manara Haji au ?? Naona kama kiswahili anakielewa
 
He!umeme umekatika ukumbini Bongo fitna
 
Kweli au kachukuliwa magorofanii kariakoo make bongo kila kitu kinawezekana ...

Si ndo huyu aliyekaa karibu na manara Haji au ?? Naona kama kiswahili anakielewa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli bwana sio wa Kkoo yuko na yuko mhindi mwenziwe na may be anajua kiswahili
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom