Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Yule msanii wa kihindi ni Preety Zinta au?I miss him!hapo jpm wamembania hawajampa kadi kawamind!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule msanii wa kihindi ni Preety Zinta au?I miss him!hapo jpm wamembania hawajampa kadi kawamind!!
Nimemis speech zake huyu anko ...ngoja nimsikilize kidogoI miss him!hapo jpm wamembania hawajampa kadi kawamind!!
Kwanza jukwaa lenyewe hovyoo wabongo bwana kupamba majukwaa ya events kubwa kubwa ni sifuriKea hiyo ndo wanajigamba kuwa tuzo za kipekee ...hizo gharama si wawaongezee washindi hata balimi 4
Naofia tension kubwa itakuwa kwa huyo bi mdada kuliko umuhimu wa event
I miss him!hapo jpm wamembania hawajampa kadi kawamind!!
Hapendezi ndio maana wamemnyima ,pia ana roho ya kutu si ajabu hapo hapo kwenye tamasha kuna watu wangepigwa risasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I miss him!hapo jpm wamembania hawajampa kadi kawamind!!
Bajetiii ndogo pesa imetumika kumleta msanii wetu wa indiaKwanza jukwaa lenyewe hovyoo wabongo bwana kupamba majukwaa ya events kubwa kubwa ni sifuri
Washa tbc mkuu ujioneeMbona hamna ushirikiano!!!! Wekeni picha tuone
Kweli au kachukuliwa magorofanii kariakoo make bongo kila kitu kinawezekana ...Hapana Preetika Rao (anaigiza tamthilia za kihindi)mdogo wake na Amrita Rao
Prety Zinta si mchezo kumleta!!!angekuja hata mi ningeua mtaji wa askirimu
Yani baada ya JK kuwachana kwamba sinema zilishaanza kupoteza mvuto wakaamua kumkatia umeme kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli bwana sio wa Kkoo yuko na yuko mhindi mwenziwe na may be anajua kiswahiliKweli au kachukuliwa magorofanii kariakoo make bongo kila kitu kinawezekana ...
Si ndo huyu aliyekaa karibu na manara Haji au ?? Naona kama kiswahili anakielewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magu angekula kichwa cha Regional Manager wa Tanesco umzimie Umeme lakin Jk anacheeeka anasema basi hawasemi tena