Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
- Thread starter
- #41
Yaani huyu Dada angevaa ht tenge Tu!Nimemsikiliza Juliana Shoza Naibu waziri wa habari, aisee she is not presentable kbs, hajui hata kutofautisha L na R yaani yupoyupo tu pale jukwaani bora hata mama ntilie angeweza kutamka maneno vzr! Shame!
Katamka Lais Kikwete badala ya Rais
Hajui ht kuongea kiwaziri