Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Nimemsikiliza Juliana Shoza Naibu waziri wa habari, aisee she is not presentable kbs, hajui hata kutofautisha L na R yaani yupoyupo tu pale jukwaani bora hata mama ntilie angeweza kutamka maneno vzr! Shame!
Yaani huyu Dada angevaa ht tenge Tu!

Katamka Lais Kikwete badala ya Rais

Hajui ht kuongea kiwaziri
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nimemis speech zake huyu anko ...ngoja nimsikilize kidogo

Anakwambia unashiriki kuhujumu Bongo movies Kwa kunyonya movies kwenye flash au ku burn CD badala ya kununua halafu unalaumu ubora wa kazi zao wakati Wewe Ni Mmoja wa wahujumu
 
Nimemsikiliza Juliana Shoza Naibu waziri wa habari, aisee she is not presentable kbs, hajui hata kutofautisha L na R yaani yupoyupo tu pale jukwaani bora hata mama ntilie angeweza kutamka maneno vzr! Shame!
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Wema nimemuona make up km jini maimuna[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] ubaya zitapotupiwa insta zitakua zimeeditiwa make up itatoka kama binti dangote..... Hajavaa nguva leo [emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli bwana sio wa Kkoo yuko na yuko mhindi mwenziwe na may be anajua kiswahili
Mmmmmmh naona full kutabasamuu ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] ubaya zitapotupiwa insta zitakua zimeeditiwa make up itatoka kama binti dangote..... Hajavaa nguva leo [emoji23]
Leo nyeusi ndefuuu ina umeto umeto nyeusi
 
Tanesco 'waliboresha' miundombinu Kwa dakika kadhaa

Siku hizi ukisikia kesho tutaboresha miundombinu Basi Jua giza
Daaaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom