Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Naona kuna kitu wanashauriana hapa kati ya Msanii grade one Diamond Platnums na meneja wake babu Tale kuhusu huyu dogo Beka
 
Hoa washereheshaji waongoza shughuli hiyo minguo aliyewavisha Mungu ana mwana.

Huo msuiti kama mlokole wa kunyakyusa.
 
Tanesco wamekuwa kikwazo kikubwa sana, wameniboa sana si warudishe umeme?? Yani wanajikatia tu umeme.
 
Back
Top Bottom