Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Akimuona Dai anachanganyikiwa maskini,we hujagundua dai alivyokuwa na zari wema alikuwa kimyaa,penzi la zari lilivyokufa tu wema akawa kama kachizika kasahau kuwa kazaa na hamisa,,atafute mwanaume mwingine badala angejikalia na idris tu
Umeona eeeh!Sasa hivi chuki zake kapeleka kwa Hamisa mpk hurumaa!
Jana Wema chozi hiloo
 
Umeona eeeh!Sasa hivi chuki zake kapeleka kwa Hamisa mpk hurumaa!
Jana Wema chozi hiloo
Yaan mpaka akameza mate na walivyo wa azam wakaoma wamchukue wema sura hahaha alitaka ye ndio aende pale mbele ashikwe mkono na Daimond ahahahah
Ila hamisa anapendezea na daimond jamani
 
Alimuambua"tumependezana sana hata huko nyumbani mtoto wetu akituona anafurahi"[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wacha weeee,,Missa alivyosema mwanaume aliependeza ni daimond tu daimond akauma mpaka meno
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] niliona paleee nilichekaaaaa kufa balaaa Jana wamefunika haswaa

Yaani Hamisa kichaa looh
Ahahhahahaha missa ana kiburi na alijuaga lazima zari ataachwa sasa hivi full mahaba sema jini mkata kamba wema ,alimchezeaga hakujua atazaa na wengine
 
Ahahhahahaha missa ana kiburi na alijuaga lazima zari ataachwa sasa hivi full mahaba sema jini mkata kamba wema ,alimchezeaga hakujua atazaa na wengine
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani sio kwa kujiamini kuleee eti"Diamond platinums"looohjj!

Na kiburi haswaa sasa vita ni Wema na Hamisa
 
Back
Top Bottom