finnest
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 834
- 1,240
Yaan mpaka akameza mate na walivyo wa azam wakaoma wamchukue wema sura hahaha alitaka ye ndio aende pale mbele ashikwe mkono na Daimond ahahahah
Ila hamisa anapendezea na daimond jamani
Haahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan mpaka akameza mate na walivyo wa azam wakaoma wamchukue wema sura hahaha alitaka ye ndio aende pale mbele ashikwe mkono na Daimond ahahahah
Ila hamisa anapendezea na daimond jamani
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndio yaani tulichekaa!!Dah !Wema kiasiii alie!
Mtanange sio wa nchi hii![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nakumbuka Ray C na Zama walivyokua wanapigana vijembe kisa RugeSasa wema atafanyaje kaz na wasafi tv sijui radio ....... hamisa lazima atakuwa anajipeleka peleka uwiiiiiii
Hii movie ndo kwanzaaaaaaa inaanza...
Mtanange sio wa nchi hii![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nakumbuka Ray C na Zama walivyokua wanapigana vijembe kisa Ruge
Shenzi weweWaislamu ni wazuri na wana Nuru hao wengine Giza kuanzia sura zao hadi mioyo yao.
Wahurumie waislam wenzio wanaochinjana kila leoWaislamu ni wazuri na wana Nuru hao wengine Giza kuanzia sura zao hadi mioyo yao.