Singapore ina Mfumo kama wa Tanzania more or less, lakini Singapore USD 60 000 vs TZ 2 000 per capital!

Singapore ina Mfumo kama wa Tanzania more or less, lakini Singapore USD 60 000 vs TZ 2 000 per capital!

Tunaweza kuwa timefànana mengi ilà tunatofàutiana moja kubwa, UWEZO WA KIFIKIRI na UWAJIBIKAJI. Huoni kama hilo ni tatizo kubwa mleta mada?
 
Tunaweza kuwa timefànana mengi ilà tunatofàutiana moja kubwa, UWEZO WA KIFIKIRI na UWAJIBIKAJI. Huoni kama hilo ni tatizo kubwa mleta mada?
Uwezo wa kufikiri ni mdogo kutokana na elimu yetu kuwa ni ya kukariri, kumeza na kufaulu mitihani. Kwa hiyo wasomi wanakuwa na vyeti vizuri ila kichwani ni vacuum. Inapaswa sisi watanzania tufumue hii elimu ya mkoloni, tatizo kuu ni kusoma kwa kiingereza. Nchi nyingi zilizoendelea wanasoma kwa lugha zao kuanzia vidudu mpaka PHD.
Tanzania haina wasomi bali inao watu waliofaulu mitihani na kuwa vyeti vya kujaza kabati.
 
Unaelewa maana ya ,, more or less” ?

Machungwa sio more or less ya maembe

Ni vitu viwili havifanani kabisa

Parliamentary System ambayo rais ni ceremonial tu ni tofauti kabisa na Presidential System ambayo rais ndio ana madaraka!

System mbili tofauti kabisa

Unafananishaji wako wa mfumo wa siasa za Singapore na Tanzania ni wa ajabu kabisa maana hakuna mfanano wowote ule!
 
Barbarosa, Vp mfumo wao wa elimu ukoje na mchakato wao wa kumpata kiongozi ukoje I mean vigezo
Kuna mahali umesema siyo kila mtu ana nafasi ya kuwa kiongozi nadhani hizo ni sababu za kutuzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaielewa vizuri theory ya relativity we kima? Umeumbuka pakubwa sana!! Tena hapo juu ukatia chumvi kuwa Singapore ni zaidi ya TZ ukijinadi president wao ni zaidi ya bongo[emoji23]

Ila tangu useme Airforce one ndo ndege kubwa kuliko zote nilikuona huna tofauti na kunguni.
Sawa, kila kitu ni relative hapa Duniani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barbarosa,
Singapore utamadani wao tofauti na wakwetu,hivyo hatuwezi kufanana.Singapore wana asili ya China hivyo wanadiscipline ya kazi na uzalendo.Sisi ubinafsi na ujinga mwingi.Huwezi kuwa na wabunge na madiwani la 7 uwe sawa na Singapore.
 
Back
Top Bottom