Singapore ina Mfumo kama wa Tanzania more or less, lakini Singapore USD 60 000 vs TZ 2 000 per capital!

Singapore ina Mfumo kama wa Tanzania more or less, lakini Singapore USD 60 000 vs TZ 2 000 per capital!

Tatizo chama chetu mkuu
Hebu jifanyanye unakubaliana nae kimfumo tupo sawa, je kifikra tupo sawa? Wazungu kwa mfumo huu uliopo na teknolojia duni waliweza vuna na kujenga ulaya kwa rasilimali za hapa,sisi teknolojia zipo juu tunashindwa,yaani!!
 
Hivi unaielewa vizuri theory ya relativity we kima? Umeumbuka pakubwa sana!! Tena hapo juu ukatia chumvi kuwa Singapore ni zaidi ya TZ ukijinadi president wao ni zaidi ya bongo[emoji23]

Ila tangu useme Airforce one ndo ndege kubwa kuliko zote nilikuona huna tofauti na kunguni.

Sent using Jamii Forums mobile app


Ni wapi nimeongelea mambo ya ,, theory of relativity “ ? Mbona unaingiza mambo yasiohusiana?
 
Barbarosa, Unalinganisha Singapore na nchi ambaye haina mwelekeo hata kua kwenye middle class income kwa miaka 50 Injao nchi ambaye ina waziri wa elimu mwenye PhD hajui hata simple Engilish, nchi ambayo raia wake wanafundishwa umuhimu wakutumia latrine kutumia chandarua nchi bogus kama hi.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi una akili wewe?

Mfumo wa Tanzania ni Presidential System ambayo rais ndio ana power

Mfumo wa Singapore ni Parliamentary System,bunge ndio lina power,na Waziri Mkuu ana power zaidi ya Rais

Hii mifumo inafanana?

Mfumo wa Tanzania unafanana na wa Singapore kwa namna yeyote ile?

Mzima kweli wewe?
Una bifu na mwandishi nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafaninsha na huku mtu week hii anongea kuwa ana uwezo wa kila kitu na anawatu kila kona kuona matukio...

Halafu baada ya week unasikia kuwa walikuwa hawajui walichokuwa wana weka sahihi kwenye kitu gani...

Kuna pahala si tumeleta utani utani..Singapore wameamua kutokuwa kama sisi tuiso na kumbukumbu na kuona watu woote wajinga.Ila isipokuwa tu Malaika viongozi na Miungu..
 
Baada ya uhuru Tanzania ilikuja na mfumo mbovu (Ujamaa) ambao ulichangia sana kudumaza maendeleo.

Pia mwaka 1978 Tanzania iliingia kwenye vita ambayo matokeo yake yaliigharimu vibaya taifa.

Watanzania hawana Business Acumen na hawakulelewa kujua biashara ya kimataifa na mazingira ya utawala yamewafanya wawe watu wa dili zaidi tofauti na Singapore.

Mifumo ya kibenki ambayo ndio kichocheo cha maendeleo ktk nchi nyingi ni ya hovyo ktk Tanzania na ni moja ya sababu inayochangia kudumaza uchumi ktk Tanzania. Mabenki yanakopesha kwa riba kubwa (Prohibitive Interest Rates) ambayo huishia kwa wakopaji kufilisiwa kufuatia kushindwa kurejesha mikopo.

Mwisho, kama udikteta unaweza ukachangia nchi kuendelea basi udikteta wa Tanzania sio wa kuweza kuleta maendeleo kwani wenyewe unalenga kuangamiza wapinzani na wanaharakati wengine na kutajirisha watawala wanaojificha nyuma ya uzalendo uchwara.
 
Back
Top Bottom