Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hebu jifanyanye unakubaliana nae kimfumo tupo sawa, je kifikra tupo sawa? Wazungu kwa mfumo huu uliopo na teknolojia duni waliweza vuna na kujenga ulaya kwa rasilimali za hapa,sisi teknolojia zipo juu tunashindwa,yaani!!Tatizo chama chetu mkuu
Hivi unaielewa vizuri theory ya relativity we kima? Umeumbuka pakubwa sana!! Tena hapo juu ukatia chumvi kuwa Singapore ni zaidi ya TZ ukijinadi president wao ni zaidi ya bongo[emoji23]
Ila tangu useme Airforce one ndo ndege kubwa kuliko zote nilikuona huna tofauti na kunguni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapi nimeongelea mambo ya ,, theory of relativity “ ? Mbona unaingiza mambo yasiohusiana?
Uliposema hapa duniani kila kitu ni relative ulitaka maanisha nini dada? Haha au hilo neno relativity limekuchanganya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina muda wa kuanza kukufundisha maana ya neno relative, amini unavyotaka kuamini!
Low IQ!
Una bifu na mwandishi nini?Hivi una akili wewe?
Mfumo wa Tanzania ni Presidential System ambayo rais ndio ana power
Mfumo wa Singapore ni Parliamentary System,bunge ndio lina power,na Waziri Mkuu ana power zaidi ya Rais
Hii mifumo inafanana?
Mfumo wa Tanzania unafanana na wa Singapore kwa namna yeyote ile?
Mzima kweli wewe?
Nina beef na uongo na uzandiki wa wazi....