Baraka21
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 1,262
- 3,184
Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima kasoro kioo tu ndio kimevunjika.
Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi kinatoa tu mwanga na mikwaruzo ya kuvunjika.
Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi kinatoa tu mwanga na mikwaruzo ya kuvunjika.